Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.
Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.
Sent using
Jamii Forums mobile app