Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.

Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
kutambua ipi imani sahihi hata huitaji degree, kwani wale mashehe wanaotangazwa instagram wanatumia visomo wanatofauti gani na waganga wanaologa watu??
 
Huyu jamaa nilichogundua anataka kuleta ishu za udini,sijajua kwanini anataka kufanya hivyo na wakati kwenye hiki kisa changu hakuna mahali popote nilipo kashifu dini ya mtu.Nilichokisema ni kwamba watu wanajifanya wanamjua Mungu kumbe ni wanafiki watupu,yote niliyoyafanya niliyafanikisha kwa sababu watu walikuwa mbali sana na ulinzi wa Mungu.

Hakuna mahali popote nilipokashifu dini ya mtu.
Mkuu
Wewe tuandalie stori ulete humu,tuna kiu.

Huyu mshenzi achana naye,,asikusumbue..
Akileta dini mimi nitajadili naye kinagaunaga.
 
kutambua ipi imani sahihi hata huitaji degree, kwani wale mashehe wanaotangazwa instagram wanatumia visomo wanatofauti gani na waganga wanaologa watu??
Kumbe shida yake ni udini!!

Hivi naye si alete stori za gaidi aliyejisalimisha kwa Allah wao!
Kwani nani anamzuia??

Huyu Yesu ni Yule yule!
Ataumia sana
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Na zaidi sote tutakufa, hakuna atakayebaki mana naona umehamia kwenye kufa sasa, sasa sijui unetamka ili kuniogopesha ama vipi, kifo ni mojawapo ya stages za kisayansi za mwanadamu lazima apitie kama sisi tulivyotoka kua MANYANI na kua BINADAMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unadhani nipo hapa kuanzisha kanisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
uko sahihi mkuu kwa maono yako, ila mtoa mada amezungumzia historia ya maswahibu yaliyomkuta kwenye maisha yake na kueleza upande alipo sasa. Ila lengo lake ni kushare na sisi tusiweze kutumbukia humo na hta kama akitangaza injili sidhani kama ni rahisi kubadilisha imani za wengine humu
Napenda watu kama nyie ambao hua mnafanya reasoning kabla ya kuhamaki kwa hasira kama wengine, unajua kama mtu una dhamira ya kweli kabisa na unaheshimu mipaka ya KIIMANI huwezi uka PANIC, uki PANIC inamanisha kuna jambo halipo SAWA...

Kukujibu mkuu, ndipo hapo tunapokosea sana kuamininishwa ya kua ukiwa upande mwingine wa KIIMANI " UTATUMBUKIA" , hua wanakupa maneno "kutumbukia" sababu wamekuonesha picha ambayo wewe utaitafsiri vibaya sababu pia kwenye picha hio kuna mambo mengi ya UONGO yamekua IMPLANTED, na ni ya UONGO sababu ndicho wanachotaka uamini ili kukuvuta uje kwao , na wakati Mimi kama nipo upande A sioni HAJA ya kuja kusema kua NILIKUA upande B na nilifanya MAASI kwahio huku ni KUBAYA, sasa kwanini tuache huu unafiki uendelee halafu upewe CREDIT kwanini mtu anaanzisha kitu lakini ukisoma kwa makini content unaona wazi kabisa hii ni MOCK kwa wenye imani upande mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe pamoja na mapepo yako mmeshindwa
Kajipangeni tena!

Kafanye wewe unachoona ni sawa.
Kahubiri na wewe unayoona sawa.

Mungu alishampa kibali cha kuhadithia,hakuna kima anayeweza zuia.
Hahaaha kwani nani amemnyima kibali cha kuhadithia, na zaidi hayo mapepo hata kama yangekuepo hayana HAKI ya kumzuia kuendelea kufanya anachokifanya, ila narudia , popote ambapo nitakuta UNAFIKI huu na UONGO unaonezwa na kutoa image mbaya kwa wenye imani upande wa pili, sitasita kuusemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama umeielewa adhma yake achana nae mkuu, for myside sidhani kama kuna dini yoyote inafurahia matendo ya shetani (maovu).
Huyu jamaa nilichogundua anataka kuleta ishu za udini,sijajua kwanini anataka kufanya hivyo na wakati kwenye hiki kisa changu hakuna mahali popote nilipo kashifu dini ya mtu.Nilichokisema ni kwamba watu wanajifanya wanamjua Mungu kumbe ni wanafiki watupu,yote niliyoyafanya niliyafanikisha kwa sababu watu walikuwa mbali sana na ulinzi wa Mungu.

Hakuna mahali popote nilipokashifu dini ya mtu.
 
Hahaaha kwani nani amemnyima kibali cha kuhadithia, na zaidi hayo mapepo hata kama yangekuepo hayana HAKI ya kumzuia kuendelea kufanya anachokifanya, ila narudia , popote ambapo nitakuta UNAFIKI huu na UONGO unaonezwa na kutoa image mbaya kwa wenye imani upande wa pili, sitasita kuusemea

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafiki unao wewe na anko wako mudi bwana

Acha kuumia kwa mambo ambayo unadhani si muhimu!

Fungua mada kahadithie yako ambayo unaona yako sawa.
 
Mkuu unadhani nipo hapa kuanzisha kanisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pengine ndiyo pengine siyo, jibu unalo mwenyewe na hata kama NDIYO Mimi ni nani wa kukuzuia , ila narejea kusema kua popote ambapo nitakuta jambo ambalo kwangu Mimi naona sio SAWA nitasema haswa haya ya KIIMANI wa KUCHAFUA taswira ya watu wanaoamini kile wanachoamini, unafiki na UONGO nitaukemea, MIPAKA YA KIIMANI NA IHESHIMIWE, lakini nashukuru angalau umecheka na umeielewa LOGIC yangu, ulianza KUPANIC , sasa uki PANIC utanishtua kidogo na kujiuliza kwanini UNAPANIC...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda watu kama nyie ambao hua mnafanya reasoning kabla ya kuhamaki kwa hasira kama wengine, unajua kama mtu una dhamira ya kweli kabisa na unaheshimu mipaka ya KIIMANI huwezi uka PANIC, uki PANIC inamanisha kuna jambo halipo SAWA...

Kukujibu mkuu, ndipo hapo tunapokosea sana kuamininishwa ya kua ukiwa upande mwingine wa KIIMANI " UTATUMBUKIA" , hua wanakupa maneno "kutumbukia" sababu wamekuonesha picha ambayo wewe utaitafsiri vibaya sababu pia kwenye picha hio kuna mambo mengi ya UONGO yamekua IMPLANTED, na ni ya UONGO sababu ndicho wanachotaka uamini ili kukuvuta uje kwao , na wakati Mimi kama nipo upande A sioni HAJA ya kuja kusema kua NILIKUA upande B na nilifanya MAASI kwahio huku ni KUBAYA, sasa kwanini tuache huu unafiki uendelee halafu upewe CREDIT kwanini mtu anaanzisha kitu lakini ukisoma kwa makini content unaona wazi kabisa hii ni MOCK kwa wenye imani upande mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shida yako unaleta udini wakati kwenye hiki kisa hakuna hata mahali ambapo nimekashifu dini ya mtu au kuwashawishi watu waabudu dini ninayo amini mimi,lengo lako kubwa ni nini?,au ulitaka nisiseme kile nilichokifanya na nilichokipitia,hutaki ukweli usemwe?.

Hebu fafanua lengo lako kuu ni nini? Na kama kuna mahali nimeshambulia dini ya mtu yeyote tafadhali niambie
 
kama umeielewa adhma yake achana nae mkuu, for myside sidhani kama kuna dini yoyote inafurahia matendo ya shetani (maovu).
Hao wenzetu wanashirikiana na majini ndiyo maana wanatukaruka kama maharagwe yaliyopikwa.

Mtu hakai kwa kutulia,tangu mwanzo wa mada anatokota tu!
 
Kipi ambacho kimekudhibitishia ya kua IMANI za upande mwingine ni MAOVU au MATENDO YA SHETANI, ? Na ukiambiwa ulete UDHIBITISHO PASI NA SHAKA kukiwa na MIFANO HAI YA VIDEO udhibitishe kauli yako ukisema WENYE IMANI YA UPANDE WA PILI wana MATENDO YA MAOVU, na wanachofanya HUKO ni MATENDO YA SHETANI(MAOVU), .?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wenzetu wanashirikiana na majini ndiyo maana wanatukaruka kama maharagwe yaliyopikwa.

Mtu hakai kwa kutulia,tangu mwanzo wa mada anatokota tu!
Hahahahaahahhaha sasa kijana naona MIPASHO imeanza, nami MIPASHO sitaweza, hua napenda LOGICAL THINKING, hakuna cha jini kurukaruka wala kutambaa. Pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu whyme pumzika kidogo.Mpaka sasa unaongoza bao 3-0 dhidi ya mpinzani wako mkali sema shule ndio ivo hospitali kuna kama rubani anaenda mgomba japo mbuzi nae kuna mbu kwenye neti shule ya jeshi na taulo kwenye mchele wa bajaji.

Hongera
 
Hahahahaahahhaha sasa kijana naona MIPASHO imeanza, nami MIPASHO sitaweza, hua napenda LOGICAL THINKING, hakuna cha jini kurukaruka wala kutambaa. Pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaumia Ukiwa wapi!??

Utaumia sana!
Na story inaendelea
Na Lwanda alishaokoka.

Wacha tuendelee kukupasha habari njema za Yesu..wewe kama huzitaki basi nenda ufungue mada uwapashe watu habari za Muhammad au Malkia.
 
Napenda watu kama nyie ambao hua mnafanya reasoning kabla ya kuhamaki kwa hasira kama wengine, unajua kama mtu una dhamira ya kweli kabisa na unaheshimu mipaka ya KIIMANI huwezi uka PANIC, uki PANIC inamanisha kuna jambo halipo SAWA...

Kukujibu mkuu, ndipo hapo tunapokosea sana kuamininishwa ya kua ukiwa upande mwingine wa KIIMANI " UTATUMBUKIA" , hua wanakupa maneno "kutumbukia" sababu wamekuonesha picha ambayo wewe utaitafsiri vibaya sababu pia kwenye picha hio kuna mambo mengi ya UONGO yamekua IMPLANTED, na ni ya UONGO sababu ndicho wanachotaka uamini ili kukuvuta uje kwao , na wakati Mimi kama nipo upande A sioni HAJA ya kuja kusema kua NILIKUA upande B na nilifanya MAASI kwahio huku ni KUBAYA, sasa kwanini tuache huu unafiki uendelee halafu upewe CREDIT kwanini mtu anaanzisha kitu lakini ukisoma kwa makini content unaona wazi kabisa hii ni MOCK kwa wenye imani upande mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa boss, ila hoja ya jamaa anasema TUSITUMBUKIE kwenye nguvu za giza (ushirikina) na sio upande wa pili wa dini yake,
sababu kwanini uokovu?
kwa upande wake yeye ni mkristo tangu mwanzo mwa story sasa unategemea aseme habar za msikitini au Buddha si angetuchanganya sisi,
tuwe wavumilivu boss sababu inaweza tokea siku moja akaja sheikh, maalim, mufti, ostadh na ushuhuda wake humu pia akatupa mwangaza coz tuko humu kujifunza na wote njia yetu ni moja
 
Back
Top Bottom