Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Kipi ambacho kimekudhibitishia ya kua IMANI za upande mwingine ni MAOVU au MATENDO YA SHETANI, ? Na ukiambiwa ulete UDHIBITISHO PASI NA SHAKA kukiwa na MIFANO HAI YA VIDEO udhibitishe kauli yako ukisema WENYE IMANI YA UPANDE WA PILI wana MATENDO YA MAOVU, na wanachofanya HUKO ni MATENDO YA SHETANI(MAOVU), .?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ulivyokuja kuropoka tu hapa kwamba kuokoka ni usanii.

Wewe ni mpinga kristo

Tulia stori iishe...huenda na wewe ukaokoka.
 
Kipi ambacho kimekudhibitishia ya kua IMANI za upande mwingine ni MAOVU au MATENDO YA SHETANI, ? Na ukiambiwa ulete UDHIBITISHO PASI NA SHAKA kukiwa na MIFANO HAI YA VIDEO udhibitishe kauli yako ukisema WENYE IMANI YA UPANDE WA PILI wana MATENDO YA MAOVU, na wanachofanya HUKO ni MATENDO YA SHETANI(MAOVU), .?

Sent using Jamii Forums mobile app
kuua watu wasio na hatia sio uovu, kudhulumu, kuiba, ngono, kudhini,
upande gani unafurahia hivo vitu.

mkuu unalogic tatizo sio muelewe unaendeshwa na mihemko, hadi utafanya tutumie energy nyingi kwa kitu chepesi
 
Mkuu shida yako unaleta udini wakati kwenye hiki kisa hakuna hata mahali ambapo nimekashifu dini ya mtu au kuwashawishi watu waabudu dini ninayo amini mimi,lengo lako kubwa ni nini?,au ulitaka nisiseme kile nilichokifanya na nilichokipitia,hutaki ukweli usemwe?.

Hebu fafanua lengo lako kuu ni nini? Na kama kuna mahali nimeshambulia dini ya mtu yeyote tafadhali niambie
Sasa tunakwenda sawa, ukianza kupanic nitakua na wasiwasi na wewe then nitakuacha,

Lengo langu ni kuusema UONGO na UNAFIKI unaoueneza hapa, mkuu wewe kuja hapa na kusema kua upande wa pili mlikua mnapotea na kwenda kusababisha ajali, hio automatically gives a very bad image KIIMANI na wanaoamini upande ambao unadhani umeuingilia, sasa hio bado inanitafakarisha kwamba sababu ya wewe haswa kuleta mada hii au UONGO huu au UNAFIKI huu ni nini? Unawahabarisha watu ili iweje haswa? Hauoni una ajenda yako iliyojificha ambayo Mimi nimeweza kuing'amua, na si nyingine zaidi ya kuiwekea image mbaya wana wa imani walioko upande wa pili kuaminisha umma ulioko hapa kua huko upande wako ndipo penye nuru, na zaidi haya yote unayoongea hayana udhibitisho kamili ambayo yatafanya conclusion ya kwamba wenye walio upande wa pili ni WABAYA na hicho ulichoandika ndicho wanachofanya, in which ni UONGO na UNAFIKI wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumia Ukiwa wapi!??

Utaumia sana!
Na story inaendelea
Na Lwanda alishaokoka.

Wacha tuendelee kukupasha habari njema za Yesu..wewe kama huzitaki basi nenda ufungue mada uwapashe watu habari za Muhammad au Malkia.
Binti/ kaka nimegundua wewe sio LEVEL yangu kifikra na critical thinking wise, unaweza kua umenipita KIFEDHA au KIPESA, kimuonekano, lakini KIFIKRA, KIAKILI, LOGIC REASONING bado sana, sasa ngoja nikuache na MIPASHO yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tunakwenda sawa, ukianza kupanic nitakua na wasiwasi na wewe then nitakuacha,

Lengo langu ni kuusema UONGO na UNAFIKI unaoueneza hapa, mkuu wewe kuja hapa na kusema kua upande wa pili mlikua mnapotea na kwenda kusababisha ajali, hio automatically gives a very bad image KIIMANI na wanaoamini upande ambao unadhani umeuingilia, sasa hio bado inanitafakarisha kwamba sababu ya wewe haswa kuleta mada hii au UONGO huu au UNAFIKI huu ni nini? Unawahabarisha watu ili iweje haswa? Hauoni una ajenda yako iliyojificha ambayo Mimi nimeweza kuing'amua, na si nyingine zaidi ya kuiwekea image mbaya wana wa imani walioko upande wa pili kuaminisha umma ulioko hapa kua huko upande wako ndipo penye nuru, na zaidi haya yote unayoongea hayana udhibitisho kamili ambayo yatafanya conclusion ya kwamba wenye walio upande wa pili ni WABAYA na hicho ulichoandika ndicho wanachofanya, in which ni UONGO na UNAFIKI wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hiyo ulitaka nisiseme kwamba nilikuwa nikifanya haya nayoyasimulia?,yaani hapa ninachopotosha ni nini?,mbona huweki wazi?,Hebu kuwa muwazi ili tuumalize huu mjadala.
Ok hebu tuumalize huu mjadala,hebu niambie nithibitishe nini ili wewe uamini kwamba haya yalikuwa maisha yangu ya kweli
 
Binti/ kaka nimegundua wewe sio LEVEL yangu kifikra na critical thinking wise, unaweza kua umenipita KIFEDHA au KIPESA, kimuonekano, lakini KIFIKRA, KIAKILI, LOGIC REASONING bado sana, sasa ngoja nikuache na MIPASHO yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kuwa sawa
I'm a born again Christian.
 
kuua watu wasio na hatia sio uovu, kudhulumu, kuiba, ngono, kudhini,
upande gani unafurahia hivo vitu.

mkuu unalogic tatizo sio muelewe unaendeshwa na mihemko, hadi utafanya tutumie energy nyingi kwa kitu chepesi
Bado hujanijibu mkuu maswali yangu, una UDHIBITISHO gani ya kua wana wa imani walio upande wa pili wanafanya hayo uliyoyatamka? Mini najua mtu anaua ni mhalifu na hua wanaface sheria, wanaodhulumu ni wahalifu wanaface sheria, wanaoiba ni wahalifu wanaface sheria, ngono ( hapa fafanua zaidi kwenye NGONO), kudhini ( hapa nadhani kama Niko sawa umemanisha kuzini), sasa hayo unayatolea UDHIBITISHO gani kua yanafanyika kwa WAAMINIO upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mimi hapa kwenye hiki kisa cha maisha yangu toka nilipoanza kusimulia tangia tukiwa Tarime sijawahi kukashifu dini za watu,sijawahi kumkashifu mtu,na kama mtakumbuka kuna wale jamaa ambao niliwaambia kwa sasa ni matajiri wakubwa hapa Dar es salaam sijawahi kuwataja majina yao maana niliona itaniletea shida,haya yule mfanyakazi wetu wakati tukiwa Tarime,jina lake halisi lilikuwa Ashura,je mlitaka nidanganye jina lake?,hilo ndilo lilikuwa jina lake.
Matendo yote niliyoyafanya kwenye maisha yangu hayo yaliyopita hakuna nilichopunguza wala nilichoongeza,isipokuwa kile kisa cha lile pedo(pederi)la baiskeli ndicho sikukimaliza kwasababu ya maneno ya watu.
Majina ya watu niliyoshiriki nao kwenye maisha ni majina halisi na wale ambao sikuwataja kuna sababu zilizofanya nisiwataje.

Mtu kama Zainati,Yusta,Scolastica,Ezekiel na Anton,hayo ni majina yao halisi.

Alama niliyowekewa mkononi na yule Malaika bado ninayo,kuna alama nilikatwa na kisu nikiwa maeneo fulani panaitwa Matemanga mkoani Ruvuma bado ninayo,kuna alama pia ninayo kidoleni ambayo nilipata ajali nikiwa kwenye gari langu kabla ya kufilisika bado ninayo,pia kidole changu kidogo cha kushoto kimepinda kabisa baada ya kusukumwa nikiwa nimelala kule Tarime.Nyumba niliyoishi nikiwa Tajiri bado ipo pale Igoma na kama mtahitaji ushahidi nipo tayari,nyumba zangu au apartment nilizojenga kule Buhongwa bado zipo kama mkihitaji ushahidi nipo tayari,nyumba yetu ya nyegezi niliyorekebisha bado ipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kaburi la baba yangu kule Tarime maeneo ya Ronsoti bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kabuli la mama yangu kule kijiji cha Sumve wilaya ya Kwimba bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari.

Jamani kwanini watu hawataki kuamini kile ninachokisema?,nifanye nini ili muamini?,au kuyataja hayo majina yenye asili ya kiarabu kama Ashura na Zainati ndilo tatizo?,mlitaka nidanganye?,mbona hata majina ya wakristo nimeyataja?,Kinachofanya mnitupie maneno ya lawama ni nini?.
Toka mwanzo sikutaka kuupotosha uma wa kwasababu najua impact ya uongo.Hiki kisa hivi sasa ninakismulia pale Redio Free Africa kwenye kipindi chao cha SITOSAHAU,hivi nawezaje kusimulia kisa cha uongo ambacho kitafarakanisha jamii?,ninawezaje kusema uongo mbele ya serikali hii ya Tanzania?,hivi kama ninasema uongo endapo serikali ikisema nithibitishe nitaanzaje?.

Ninausema ukweli kwasababu nipo tayari hata serikali ya Tanzania iseme nithibitishe nipo tayari kuthibitisha na wala sihofii kwasababu nilipitia mimi mwenyewe haya maisha.
 
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mi sina hata nilicho kisoma naona tu maneno mengii am not interested kwakweli nipo hapa kusoma story
 
Jamani mimi hapa kwenye hiki kisa cha maisha yangu toka nilipoanza kusimulia tangia tukiwa Tarime sijawahi kukashifu dini za watu,sijawahi kumkashifu mtu,na kama mtakumbuka kuna wale jamaa ambao niliwaambia kwa sasa ni matajiri wakubwa hapa Dar es salaam sijawahi kuwataja majina yao maana niliona itaniletea shida,haya yule mfanyakazi wetu wakati tukiwa Tarime,jina lake halisi lilikuwa Asura,je mlitaka nidanganye jina lake?,hilo ndilo lilikuwa jina lake.
Matendo yote niliyoyafanya kwenye maisha yangu hayo yaliyopita hakuna nilichopunguza wala nilichoongeza,isipokuwa kile kisa cha lile pedo(pederi)la baiskeli ndicho sikukimaliza kwasababu ya maneno ya watu.
Majina ya watu niliyoshiriki nao kwenye maisha ni majina halisi na wale ambao sikuwataja kuna sababu zilizofanya nisiwataje.

Mtu kama Zainati,Yusta,Scolastica,Ezekiel na Anton,hayo ni majina yao halisi.

Alama niliyowekewa mkononi na yule Malaika bado ninayo,kuna alama nilikatwa na kisu nikiwa maeneo fulani panaitwa Matemanga mkoani Ruvuma bado ninayo,kuna alama pia ninayo kidoleni ambayo nilipata ajali nikiwa kwenye gari langu kabla ya kufilisika bado ninayo,pia kidole changu kidogo cha kushoto kimepinda kabisa baada ya kusukumwa nikiwa nimelala kule Tarime.Nyumba niliyoishi nikiwa Tajiri bado ipo pale Igoma na kama mtahitaji ushahidi nipo tayari,nyumba zangu au apartment nilizojenga kule Buhongwa bado zipo kama mkihitaji ushahidi nipo tayari,nyumba yetu ya nyegezi niliyorekebisha bado ipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kaburi la baba yangu kule Tarime maeneo ya Ronsoti bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kabuli la mama yangu kule kijiji cha Sumve wilaya ya Kwimba bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari.

Jamani kwanini watu hawataki kuamini kile ninachokisema?,nifanye nini ili muamini?,au kuyataja hayo majina yenye asili ya kiarabu kama Ashura na Zainati ndilo tatizo?,mlitaka nidanganye?,mbona hata majina ya wakristo nimeyataja?,Kinachofanya mnitupie maneno ya lawama ni nini?.
Toka mwanzo sikutaka kuupotosha uma wa kwasababu najua impact ya uongo.Hiki kisa hivi sasa ninakismulia pale Redio Free Africa kwenye kipindi chao cha SITOSAHAU,hivi nawezaje kusimulia kisa cha uongo ambacho kitafarakanisha jamii?,ninawezaje kusema uongo mbele ya serikali hii ya Tanzania?,hivi kama ninasema uongo endapo serikali ikisema nithibitishe nitaanzaje?.

Ninausema ukweli kwasababu nipo tayari hata serikali ya Tanzania iseme nithibitishe nipo tayari kuthibitisha na wala sihofii kwasababu nilipitia mimi mwenyewe haya maisha.
Shusha ka Episodi tukukuruke nako usiku huu
 
Back
Top Bottom