Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Whyme amejuah kukata umeme sema nn tumuache mwanetu lwanda amalize story alaf ndo utamalzane nae ama nn
 
Jamani ngoja niwaache muendelee kupewa STORI au ENTERTAINMENT, naona imeshindikana kabisa kujibiwa, wengi mna MIHEMKO, PRESHA, JAZBA, HASIRA, MATUSI, MIPASHO na personal attacks(mashambulizi binafsi ambayo Mara nyingi mtu ambaye ameshindwa hoja za msingi hua analeta), kwa wachache sana waliojaribu kunielewa heko kwao, wengi hamjui kwanini upo hapo na kwa sababu gani upo hapo ulipo, wengi hamjui hata mnachokisimamia, na laiti kama.ukijua basi huwezi kueneza PROPAGANDA za UONGO na za KINAFIKI kwa minajili ya kuonesha picha ya upande mwingine kua HAWAFAI na wanachoabudu ama kukisimamia, mipaka ya KIIMANI na IHESHIMIWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni jf tu so huwez kujua protocol yangu na mimi pia siwez kujua pia Kingine filings zako ni tofaut na zangu usijione una maoni kamilif kuliko wengine kuna watu wanakuchora tu na hawana habar na ww so kausha,,,,
 
Blaza lwanda magere tadadhali tuendelee
Screenshot_20210310-105437.jpeg
Screenshot_20210310-105535.jpeg
 
Jamani mimi hapa kwenye hiki kisa cha maisha yangu toka nilipoanza kusimulia tangia tukiwa Tarime sijawahi kukashifu dini za watu,sijawahi kumkashifu mtu,na kama mtakumbuka kuna wale jamaa ambao niliwaambia kwa sasa ni matajiri wakubwa hapa Dar es salaam sijawahi kuwataja majina yao maana niliona itaniletea shida,haya yule mfanyakazi wetu wakati tukiwa Tarime,jina lake halisi lilikuwa Ashura,je mlitaka nidanganye jina lake?,hilo ndilo lilikuwa jina lake.
Matendo yote niliyoyafanya kwenye maisha yangu hayo yaliyopita hakuna nilichopunguza wala nilichoongeza,isipokuwa kile kisa cha lile pedo(pederi)la baiskeli ndicho sikukimaliza kwasababu ya maneno ya watu.
Majina ya watu niliyoshiriki nao kwenye maisha ni majina halisi na wale ambao sikuwataja kuna sababu zilizofanya nisiwataje.

Mtu kama Zainati,Yusta,Scolastica,Ezekiel na Anton,hayo ni majina yao halisi.

Alama niliyowekewa mkononi na yule Malaika bado ninayo,kuna alama nilikatwa na kisu nikiwa maeneo fulani panaitwa Matemanga mkoani Ruvuma bado ninayo,kuna alama pia ninayo kidoleni ambayo nilipata ajali nikiwa kwenye gari langu kabla ya kufilisika bado ninayo,pia kidole changu kidogo cha kushoto kimepinda kabisa baada ya kusukumwa nikiwa nimelala kule Tarime.Nyumba niliyoishi nikiwa Tajiri bado ipo pale Igoma na kama mtahitaji ushahidi nipo tayari,nyumba zangu au apartment nilizojenga kule Buhongwa bado zipo kama mkihitaji ushahidi nipo tayari,nyumba yetu ya nyegezi niliyorekebisha bado ipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kaburi la baba yangu kule Tarime maeneo ya Ronsoti bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kabuli la mama yangu kule kijiji cha Sumve wilaya ya Kwimba bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari.

Jamani kwanini watu hawataki kuamini kile ninachokisema?,nifanye nini ili muamini?,au kuyataja hayo majina yenye asili ya kiarabu kama Ashura na Zainati ndilo tatizo?,mlitaka nidanganye?,mbona hata majina ya wakristo nimeyataja?,Kinachofanya mnitupie maneno ya lawama ni nini?.
Toka mwanzo sikutaka kuupotosha uma wa kwasababu najua impact ya uongo.Hiki kisa hivi sasa ninakismulia pale Redio Free Africa kwenye kipindi chao cha SITOSAHAU,hivi nawezaje kusimulia kisa cha uongo ambacho kitafarakanisha jamii?,ninawezaje kusema uongo mbele ya serikali hii ya Tanzania?,hivi kama ninasema uongo endapo serikali ikisema nithibitishe nitaanzaje?.

Ninausema ukweli kwasababu nipo tayari hata serikali ya Tanzania iseme nithibitishe nipo tayari kuthibitisha na wala sihofii kwasababu nilipitia mimi mwenyewe haya maisha.
Achana na wapuizi humu kunawatu hua wanasubir tu mtu aanzishe Jambo walete upuuzi wako kwa sababu wao ndio waongo wakubwa ndio Mana hawaamini mtu
 
Sijakuelewa, nimeuliza maswali, wewe unakuja na personal attacks, hii inaonesha dhahiri kua wewe na wenzio hamna weledi uliotukuka wa kunijibu zaidi ya personal attacks, nikisema nyinyi baadhi yenu ni makondoo mnapelekwa tu nitakosea, mnafurahia ( enjoyment) stori tu,
Yeye kutoka ama kuingia alikokua Mimi hakunihusu, Mimi nimekuja kusema UONGO na UNAFIKI wa watu wa aina yake, japo haimzuii yeye kuendelea kuwapa enjoyment ya stori.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaponda ulokole alafu unatetea uchawi!! Duuu!!!
 
Alafu faster kabadili avatar itoshe kusema tulikuwa tunabishana na mtu wa kitofauti[emoji1430]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Isije kuwa anabadili Kama ambavyo Malkia alivyokuwa anambadilikia Lwanda chumba Cha Siri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi kwelikweli
Jamaa amevuruga stori
Tangu jana ni tafrani tu[emoji1787][emoji1787]
Anavurugwa kama wale wamama wa Mlowo walionasua tego la Lwanda gari zikapitiliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahhaha
Yaani nimejua nitakutana na muendelezo kumbe mabishano yanaendelea sijui watu wanapata faida gani
Muda unazidi kwenda tu!
Kuna mtu jana alisababisha yote haya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Back
Top Bottom