Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

Kilichotokea ni kwamba mtoto(first born) alimrithi mama baada ya kifo cha mshua na akafanikiwa kuzaa mtoto wa kike ambaye ni mtoto dada na baadae akapata wajukuu wapwa😄😄
Dunia uwanja wa fujo
 
Baada ya kusimuliwa hili jambo ambalo mimi kama mtu mzima niliunganisha dots na kugundua kuwa Tonia alizaliwa kwa mtu na mdogo wake. Yaani baba yake ni mjomba na mama ni shangazi yake. Naomba hili niishia hapa nitarudi wakuu kwa mkasa wa pili
Incest?
Tragedy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…