Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mikataba

932E6550-FC5E-437F-B022-58AAB95DD0C1.jpeg
 
𝑐𝑗𝑎𝑤𝑎ℎ𝑖 𝑜𝑛𝑎 𝑖𝑚𝑝𝑎𝑐𝑡 𝑦𝑎𝑘𝑒
 
Hii mikataba ilitakiwa kusainiwa china au Tanzania?

Kuna mtindo mpya wa kwenda kusaini mikataba nje ya nchi je mikataba hiyo waziri wa sheria na katiba anahusika kuisaini?

Hii mikataba ikienda kusainiwa huko china wabunge wanakuwa wameipitia au kuijua au tunaenda kuisaini huko china tu?

Ni nani huwa anaandaa na kuipitia hiyo mikataba kabla samia hajaondoka nayo kwenda kusainiwa huko ugaibuni?

Ni nani amemtuma samia kwenda kusaini mikataba 15 huko china kwa wakati mmoja?

Huo mkopo wa kujenga Zanzibar international airport ni nani atalipa huo mkopo na dhamana yake ni nini?

Huko Zambia wachina walishika uwanja wa mpira, Tanesco ta huko na uwanja wa ndege kisa wazambia walishindwa kulipa mkopo wa wachina Samia anakumbuka?

Nimeuliza tu
 
Akisaini na waarabu, ooohhh tunauzwa kwa waarabu.
Akaenda kwa wafaransa , ikawa mabeberu wanarudishwa tena..
Sasa hata kwa mchina pia inakuwa kelele...mnataka nini, haya basi lipeni tozo zaidi tupate hela za miradi...
Wabongo mnachosha.....
 
Weka majina au orodha ya hiyo mikataba 15 iliyosaini huko china leo kama hutadondoka
 
Back
Top Bottom