fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
tuache kuhisi mabaya kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuache kuhisi mabaya kila siku
Waambie ukweli hawa mapimbi!Eti wametupa Tsh 30+ bilioni.
Jamani hiyo Ni pesa hata mwenye kituo Cha petroli anayo.
Bwagamoyo lazima!Mkataba wa bagamoyo lazima upo na utakuwa umepitishwa leo
Hii mikataba ilitakiwa kusainiwa china au Tanzania?
Kuna mtindo mpya wa kwenda kusaini mikataba nje ya nchi je mikataba hiyo waziri wa sheria na katiba anahusika kuisaini?
Hii mikataba ikienda kusainiwa huko china wabunge wanakuwa wameipitia au kuijua au tunaenda kuisaini huko china tu?
Nimeuliza tu
Vipi ule mradi wa Bandari ya Bagamoyo. Mkumbusheni aliulizie Hilo nalo muhimu.
Kwani sasa wachina si wanalima viazi na pilipili huko Iringa, Dar kuna mpaka bodaboda! Ccm ni laana!Kwa mikataba hii 15 iliyosainiwa huko china tuwe tayari kukuta wachina wakiuza kuku kariakoo bila kizuizi
Swali la muhimi Sana!Hivi wale Kabudi na lukuvi tuliambiwa Nazi yao kupitia mikataba ya serikali je na wao wameenda huko china
Katulia tu anajua atapelekewaMbona Rais wa Nchi ya Zanzibar hahangaiki kutafuta mikopo ya nchi yake ?
WaTanzania tufungukeni! Hivi Almasi na madini yetu ukiachilia Royal tour waliyotuaminisha inaleta watalii na pesa nyingi.
Ukiyaona manyoya ya kuku ujue kashachinjwa huyo. Tukiona mkuu anatunukiwa udaktari wa heshima wa falsafa na Wachina basi ujue mikataba hiyo 15 imekula kwetu.
Ndicho mlichokuwa mnalilia! Mtoto akililia wembe……[emoji38][emoji38][emoji38]
Ccm hakuna aliye makini!Usaini mikataba apo apo usamehewe deni kudadeki[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Kuna miradi gani uliyoiona hapo..au ndio kutajirisha wana siasa kupitia hiyo mikopo...ambayo mwisho wasiku wewe na mimi ndio tunaenda kuilipa kwa maumivu...hao wahuni wanapita tu.Akisaini na waarabu, ooohhh tunauzwa kwa waarabu.
Akaenda kwa wafaransa , ikawa mabeberu wanarudishwa tena..
Sasa hata kwa mchina pia inakuwa kelele...mnataka nini, haya basi lipeni tozo zaidi tupate hela za miradi...
Wabongo mnachosha.....
Nadhani ni strategic agreements za mashirikiano kwenye maeneo mbali mbali LAKINI WORKING DOCUMENTS lazima ziwe developed na wahusika wa kisekta na kisheria wa maeneo husika!!!Huyu mama Wala hanaga uchungu na hii Nchi..tuwe makini tunaingizwa mkenge
Zenj wana nini, wanabebwa tu! Kisheria wanatakiwa wapewe asilimia 4 tu, lakini sasa haifuatwi hiyo!Zanzibar watalipa hiyo usd 56.72 milion au ni Tanzania italipa huo mkopo
ninashauri hati ya zanzibar international airport iwe ndio dhamana ya huo mkopo.
Hiyo iko wazi kabisa!Kwa mikataba hii 15 iliyosainiwa huko china tuwe tayari kukuta wachina wakiuza kuku kariakoo bila kizuizi
Sikutaka kujibu ila ngoja nikujibu kwa picha 👇