Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni 'process' tu mkuu 'peno hasegawa'.Hii mikataba ilitakiwa kusainiwa china au Tanzania?
Kuna mtindo mpya wa kwenda kusaini mikataba nje ya nchi je mikataba hiyo waziri wa sheria na katiba anahusika kuisaini?
Hii mikataba ikienda kusainiwa huko china wabunge wanakuwa wameipitia au kuijua au tunaenda kuisaini huko china tu?
Nimeuliza tu
Hapa unajisikia umejitutumua kwelikweli!Akisaini na waarabu, ooohhh tunauzwa kwa waarabu.
Akaenda kwa wafaransa , ikawa mabeberu wanarudishwa tena..
Sasa hata kwa mchina pia inakuwa kelele...mnataka nini, haya basi lipeni tozo zaidi tupate hela za miradi...
Wabongo mnachosha.....
hoja !! huku ni GSM na MO tu , Nchi inatafunwa !nyinyi kaeni kuzungumzia simba na yanga iko siku mtajua kama hamjui deni latawafata mpaka chumbani
Tulia kijanaHii mikataba ilitakiwa kusainiwa china au Tanzania?
Kuna mtindo mpya wa kwenda kusaini mikataba nje ya nchi je mikataba hiyo waziri wa sheria na katiba anahusika kuisaini?
Hii mikataba ikienda kusainiwa huko china wabunge wanakuwa wameipitia au kuijua au tunaenda kuisaini huko china tu?
Nimeuliza tu
“Mtakwenda! Halafu mtapinda, mtapinda tena, halafu tena mtapinda, mwishowe mtapindapinda hadi mtakapofika mabonde yenye matope. Mtapita katikati ya matope. Halafu milima, halafu misitu yenye miiba hadi mtakapofika jangwani. Kutoka jangwani mtaingia tena bondeni chini kwa chini hadi baharini. Hakuna mitumbwi wala ngalawa. Mtaogelea, ingawa kuna papa wengi. Mkishavuka mtafika nchi iitwayo Svoboda. Kabla ya kuondoka katika nchi hii itawabidi kupambana na majitu yanayofanana na mimi. Mkitoka hapo mtafika kwenye njia nyembamba. (Akiwaonyesha mawaziri) Hawa hawatapita hawa! Njia hiyo itawafikisha katika nchi iitwayo Fraternite. Kutoka Fraternite mtafika Usawa. Ulizeni tu watu watawaonyesha! Mkifika Usawa mtawakuta Waswahili wenzenu wameketi nje ya ikulu ndogo ya Ravensto”Hapa unajisikia umejitutumua kwelikweli!
Hivi wewe huamini uwezo wa waTanzania kuiendeleza nchi hii?
Siku nyingine mweleze aongeze juhudi kubwa katika kusimamia kazi za waTanzania wanazofanya ili nchi yao ipate maendeleo. Atumie muda wake mwingi sana na hawa waTanzania, na ahakikishe juhudi zao hazihujumiwi.
Kwa mtu kama wewe utaanza kusema nimesema hatuhitaji hayo yanayofanyika huko.
Weka hiyo mikataba 15 tuioneMikataba
Tunapiga kelele kwa sababu jikoni kwa sasa kunatia mashaka wapishi wanaonekana weupe mno .watanzania hatutaki kurudi tulikotoka tutawapandia juu ka mwewe dadekiAkisaini na waarabu, ooohhh tunauzwa kwa waarabu.
Akaenda kwa wafaransa , ikawa mabeberu wanarudishwa tena..
Sasa hata kwa mchina pia inakuwa kelele...mnataka nini, haya basi lipeni tozo zaidi tupate hela za miradi...
Wabongo mnachosha.....
Ndiyo Ukweli WenyeweWachina wadhajua kipa katoka, wanajipigia tu
Tuliwe Mara Ngapi?Tusipofunguka 2025 tumeliwa
Bora hata bwana Msoga aliongeza mishahara na kutoa ajiraTofauti ya bwana msoga na huyu bibi kizee sir-hundred ni jjnska tu, a wote MAJIZI hawana huruma na maisha ya waTanzania, hizo pesa za kuzurula nchi za watu zingetosha kuongeza visima10 nchini kupunguza uhaba wa maji.
Maji ta shida, mfumuko wa bei za vyakula, vifaa vya ujenz, pembejeo za kilimo, mabando kupanda lkn wao hawaoni, kazi yao kutia saini mambo ambayo hawataki tujue.
Hakika vizazi vijavyo vitatulaumu sana, maana hatuna tofauti na wale machief waliosainishwa mikataba ya ulaghai.
Hiyo 15mikataba haina jipya na haitosaidia kitu zaid ya kuwanufaisha wachina na mafedhuri wa kitanzania,
Tutaona kama hiyo mikataba ina jipya lolote la kumnufaisha mtanzania, kama itawabadiri maisha basi NIPO BANDANI PALE NIITENI MBWA NASUBIRI KUBWEKA[emoji23][emoji23]
Unauliza ya maana Sana, ila nani atakuelewa? Nchi ina laana hii!Hii mikataba ilitakiwa kusainiwa china au Tanzania?