Mikataba anayoingia Waziri Makamba ina mkono wa mkuu wa nchi? Kwanini hatusikii akiikemea? Wananchi wanabakia kunung'unika Taifa lao kufisadiwa

Wahindi ni wapigaji tu(this is according to my experience) hivyo basi January na 'wakubwa zake' wanafanya mchezo machafu.
Kama Tz hakuna wataalam(kutokana na madai yako) basi hii si nchi bali ni uozo, yaani system inayoongoza nchi tangu uhuru ni uozo mtupu.
 
Tulia wewe, kwani pesa imetoka kwenye mfuko wako ama. Ongea na lukuvi plus kabudi utapata majibu murua.

Kwa sasa ukiona mkataba umesainiwa manake before that umepata aprove ya hao jamaa wawili wenye kazi maalumu
Una uhakika hao wa kutoka nje ya nchi hawatatupiga?
 
Waende kumuona waziri na atawasikiliza?? Sijui hata kama unaelewa, hapo wametangaza tender na ndani yake kunakua na mtu/watu wanaowalenga(10%) na ndio mwisho wanasema wamepata kampuni fulani kutoka sehemu fulani
 
Mkuu unaelewa maana ya transaction advisor wa mradi wa kiwango cha LNG ?hivi Tanzania kuna firm ipi yenye commercial laywer ?unafikiri miradi hii ukishakuwa mwanasheria inatosha ?tafadhali pitie website ya Baker Botts,ndio utaelewa hali halisi
Sisi huwa tunajua kila kitu na wala hatujui. Kazi yetu ni kujisifu tu.
 
Mama na Marope ni kitu kimoja tokea alipokuwa kwenye ofisi ya mazingira, uliza watu wa migodini watakuambia Marope alivyo mpigaji.
 
Baba wa mikataba sijui anapitia hii mikataba ya huyu mhuni? au bado anasubiri apewe muongozo na mama, ila tatizo huyu mhuni ni mtoto wa mama, mama hawezi mfanya lolote,wanajuana toka walipokuwa wote wizara ya mazingira,ukitaka kumjua Makamba,waulize watu wa migodini na wale wa viwanda vya sementi.
 
Usijitoe ufahamu mkuu,

Hapa tunazungumzia national interest na sio maslahi ya mtu binafsi.

Kaa ukifahamu kwamba fedha zinazotumika ni kodi za wananchi .

Wale kina mama wanakaa juani na kufukuzana na mgambo wa jiji.

Wakati fedha zao zinatumika vibaya just think of them.

Wafikirie namna walivyowapa imani ya kusimamia maslahi yao na namna imani hiyo inavyokuwa abused.
 
Nasikia watakuwepo apex kama local legal film
 
Kwa hiyo? Ufahamu gani? We kwa akili yako mbovu Waziri anaweza jiamulia kufanya jambo kienyeji?
 
Haaaa haaaa beberu anasimamia maslahi ya mnyonge dhidi ya kampuni ya kibeberu. Kuna viongozi kama Wana watermelon 🍉 head.
 
Hapa mbona ni sheria na uzoefu kwenye maswala ya gas? Icho chuo kama ni cha engineering wata juaje sheria za gas. Na sio kujua tu kumbuka huu ni uwekezaji mkubwa lazima uwe na uzoefu ni team kubwa.
 
Kaa ukifahamu kwamba kila jambo lina mwisho wake.

Hata hili la matumizi mabaya ya fedha za uma pia yana mwisho wake.

Kwa kuwa umechagua kutetea upande huo. Nikutakie kila la heri.
Akili huna unachoweza ni ku kushabikia na ku post vipicha vya Mwanza tuu.
 
Wakati mwingine kuna suala zima la wivu wa mtanzania, anaona pesa nyingi zinakwenda nje ya nchi anaumia moyoni akitamani kama zingekuwa ni za kwake.

Anapopewa kazi anaanza kuifanya chini ya kiwango na kibaya zaidi akishakula pesa anaanza kuzingua katika kuonyesha kazi aliyolipwa pesa nyingi ipo wapi.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kuna mengi sana yanaendelea ambayo ni ngumu kueleweka haraka haraka. Men are in a mission
 
Tukiwa tunataka kuomba kwao tunaanza kuwapamba kwa kuwaita marafiki wa maendeleo. Tukishashiba na kutaka kuwatukana tunawaita mabeberu, ni akili zile zile za kujihami za kiafrika.

Kibaya zaidi JPM mpaka anakufa alitakiwa akatibiwe Ujerumani kwa hao hao mabeberu lakini kwa sababu alikwisha nyea kambi akakubali kuteseka kimya kimya mpaka kifo kilipomfika.

Ni mentality fulani zinazopitwa na wakati kadri siku zinavyokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…