Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Wahindi ni wapigaji tu(this is according to my experience) hivyo basi January na 'wakubwa zake' wanafanya mchezo machafu.kuna mdau alikuja kulalamika hapa aliwapa wabongo project wamyengenezee software, pamoja na kuwalipa pesa nyingi bado iliwachukua mwaka mzima na project ilipokamilika ilionekana kwamba ni copy and paste, usanii mwingi HIVYO SOFTWARE DEVELOPERS WA KIANZANIA NI VILAZA FIRST GRADE.
Kwa akili yako fupi unahisi kuna kampuni gani ya kitanzania inaweza kufanya kazi ya ushauri kwenye mradi srious kama huu? unajua maana ya 70T wewe? au unakurupuka tuu kuja kulalamika hapa sababu tuu unamiliki iphone macho matatu? Kwa kifupi serious business zinahitaji watu serious.
Kama Tz hakuna wataalam(kutokana na madai yako) basi hii si nchi bali ni uozo, yaani system inayoongoza nchi tangu uhuru ni uozo mtupu.