Mikataba anayoingia Waziri Makamba ina mkono wa mkuu wa nchi? Kwanini hatusikii akiikemea? Wananchi wanabakia kunung'unika Taifa lao kufisadiwa

Mikataba anayoingia Waziri Makamba ina mkono wa mkuu wa nchi? Kwanini hatusikii akiikemea? Wananchi wanabakia kunung'unika Taifa lao kufisadiwa

kuna mdau alikuja kulalamika hapa aliwapa wabongo project wamyengenezee software, pamoja na kuwalipa pesa nyingi bado iliwachukua mwaka mzima na project ilipokamilika ilionekana kwamba ni copy and paste, usanii mwingi HIVYO SOFTWARE DEVELOPERS WA KIANZANIA NI VILAZA FIRST GRADE.

Kwa akili yako fupi unahisi kuna kampuni gani ya kitanzania inaweza kufanya kazi ya ushauri kwenye mradi srious kama huu? unajua maana ya 70T wewe? au unakurupuka tuu kuja kulalamika hapa sababu tuu unamiliki iphone macho matatu? Kwa kifupi serious business zinahitaji watu serious.
Wahindi ni wapigaji tu(this is according to my experience) hivyo basi January na 'wakubwa zake' wanafanya mchezo machafu.
Kama Tz hakuna wataalam(kutokana na madai yako) basi hii si nchi bali ni uozo, yaani system inayoongoza nchi tangu uhuru ni uozo mtupu.
 
Tulia wewe, kwani pesa imetoka kwenye mfuko wako ama. Ongea na lukuvi plus kabudi utapata majibu murua.

Kwa sasa ukiona mkataba umesainiwa manake before that umepata aprove ya hao jamaa wawili wenye kazi maalumu
Una uhakika hao wa kutoka nje ya nchi hawatatupiga?
 
Mkuu,IKO HIVI,Kama hio teknolojia ipo hapa nchini au kama kuna ambao wanafikiri wanaweza kuwa na TEchnolojia hio basi waende wamuone waziri na kuthibitisha kwamba wanao uwezo na sio ubabaishaji.Naamni kabisa atrawasikiliza.Kuhusu wanasheria Tusidanganyane kadiri mkataa unavokuwa mrefu na vocaulary nyingi ndivyo ambavyo wanasinzia..
Waende kumuona waziri na atawasikiliza?? Sijui hata kama unaelewa, hapo wametangaza tender na ndani yake kunakua na mtu/watu wanaowalenga(10%) na ndio mwisho wanasema wamepata kampuni fulani kutoka sehemu fulani
 
Mkuu unaelewa maana ya transaction advisor wa mradi wa kiwango cha LNG ?hivi Tanzania kuna firm ipi yenye commercial laywer ?unafikiri miradi hii ukishakuwa mwanasheria inatosha ?tafadhali pitie website ya Baker Botts,ndio utaelewa hali halisi
Sisi huwa tunajua kila kitu na wala hatujui. Kazi yetu ni kujisifu tu.
 
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa Kitanzania au ni ufanisi gani ambao hawa Wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa Kitanzania hawapo?

Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.

Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.

Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.
Mama na Marope ni kitu kimoja tokea alipokuwa kwenye ofisi ya mazingira, uliza watu wa migodini watakuambia Marope alivyo mpigaji.
 
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa Kitanzania au ni ufanisi gani ambao hawa Wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa Kitanzania hawapo?

Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.

Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.

Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.
Baba wa mikataba sijui anapitia hii mikataba ya huyu mhuni? au bado anasubiri apewe muongozo na mama, ila tatizo huyu mhuni ni mtoto wa mama, mama hawezi mfanya lolote,wanajuana toka walipokuwa wote wizara ya mazingira,ukitaka kumjua Makamba,waulize watu wa migodini na wale wa viwanda vya sementi.
 
Usijitoe ufahamu mkuu,

Hapa tunazungumzia national interest na sio maslahi ya mtu binafsi.

Kaa ukifahamu kwamba fedha zinazotumika ni kodi za wananchi .

Wale kina mama wanakaa juani na kufukuzana na mgambo wa jiji.

Wakati fedha zao zinatumika vibaya just think of them.

Wafikirie namna walivyowapa imani ya kusimamia maslahi yao na namna imani hiyo inavyokuwa abused.
 
U

Andiko zuri.
Wataalam wa Sheria wanaoifahamu hii sekta ngeni, kwa vyo vyote hawapo kwa sasa.
Kuwapa kazi hii Waingereza peke yao, kutaendelea kutufanya kuwa tegemezi.
Ilitakiwa kuwe na ubia wa hiyo Kampuni ya Uingereza na mojawapo ya Kampuni za Sheria za Kitanzania ili kupata huo ujuzi.
Vinginevyo, tutaendelea kuwategemea wataalam wa nje.
Nasikia watakuwepo apex kama local legal film
 
Usijitoe ufahamu mkuu,

Hapa tunazungumzia national interest na sio maslahi ya mtu binafsi.

Kaa ukifahamu kwamba fedha zinazotumika ni kodi za wananchi .

Wale kina mama wanakaa juani na kufukuzana na mgambo wa jiji.

Wakati fedha zao zinatumika vibaya just think of them.

Wafikirie namna walivyowapa imani ya kusimamia maslahi yao na namna imani hiyo inavyokuwa abused.
Kwa hiyo? Ufahamu gani? We kwa akili yako mbovu Waziri anaweza jiamulia kufanya jambo kienyeji?
 
Haaaa haaaa beberu anasimamia maslahi ya mnyonge dhidi ya kampuni ya kibeberu. Kuna viongozi kama Wana watermelon 🍉 head.
 
We na huyo Makamba akili zenu sawa in your little pathetic heads mnadhani watanzania wote ni wapuuzi kama nyie.

Ebu mwambie waziri achunguze hapo wizarani since Dr Mpango amekuwa waziri ni watanzania wangapi wamepekekwa Aberdeen University kusomea maswala ya Oil and Gas.

If you don’t know about Aberdeen University ipo very close to North Sea na ndio chuo kikubwa shell Uk ina sponsor in oil and gase degrees.

Makamba is just stupid
Hapa mbona ni sheria na uzoefu kwenye maswala ya gas? Icho chuo kama ni cha engineering wata juaje sheria za gas. Na sio kujua tu kumbuka huu ni uwekezaji mkubwa lazima uwe na uzoefu ni team kubwa.
 
Kaa ukifahamu kwamba kila jambo lina mwisho wake.

Hata hili la matumizi mabaya ya fedha za uma pia yana mwisho wake.

Kwa kuwa umechagua kutetea upande huo. Nikutakie kila la heri.
Akili huna unachoweza ni ku kushabikia na ku post vipicha vya Mwanza tuu.
 
Nadhani mtoa mada yeye focus yake kubwa ni "uzalendo na uzawa". Yaani anataka mtanzania ndio awe mshauri, hata kama uzoefu katika masuala ya negotiations za uwekezaji wa gesi, apewe tu hii advisory role.

Hoja zake za msingi ni zifuatazo:
1. Unajua mazungumzo haya yapo kwenye hatua gani na hata mshauri atafutwe wakati huu...
2. Je, TPDC hakuna wataalam wa gesi
3. Matusi na makasiriko kwa wachangiaji wenye mtazamo tofauti nayeye.

Nadhani hii kazi ya ushauri tumpe mtoa mada Idugunde (kwa sababu yeye ni mtanzania mwenzetu) atashirikiana na Joni Boko pamoja na Harmonize.
Wakati mwingine kuna suala zima la wivu wa mtanzania, anaona pesa nyingi zinakwenda nje ya nchi anaumia moyoni akitamani kama zingekuwa ni za kwake.

Anapopewa kazi anaanza kuifanya chini ya kiwango na kibaya zaidi akishakula pesa anaanza kuzingua katika kuonyesha kazi aliyolipwa pesa nyingi ipo wapi.
 
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa Kitanzania au ni ufanisi gani ambao hawa Wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa Kitanzania hawapo?

Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.

Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.

Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kuna mengi sana yanaendelea ambayo ni ngumu kueleweka haraka haraka. Men are in a mission
 
Wewe kiazi hakuna mtu anasomea exactly Gas and Oil law.

With exceptions, otherwise a majority of specialised lawyers nchi za wenzetu in their fields ni watu walio hitimu degrees za kawaida tu kwanza plus work experience.

Sema baadae unaruhusiwa kusoma masters mwaka mmoja ujifunze legal arguments; baada ya hapo unakuwa specialised lawyer.

That is to say hakuna mtu ambae kasoma oil and Gas Management awezi kuelewa elements majadiliano na dispute resolutions; ni mpuuzi kama Makamba na wewe mnaodhabi watanzania wote wana limitations kama mlivyo nyie hadi kutukuza mabeberu.
Tukiwa tunataka kuomba kwao tunaanza kuwapamba kwa kuwaita marafiki wa maendeleo. Tukishashiba na kutaka kuwatukana tunawaita mabeberu, ni akili zile zile za kujihami za kiafrika.

Kibaya zaidi JPM mpaka anakufa alitakiwa akatibiwe Ujerumani kwa hao hao mabeberu lakini kwa sababu alikwisha nyea kambi akakubali kuteseka kimya kimya mpaka kifo kilipomfika.

Ni mentality fulani zinazopitwa na wakati kadri siku zinavyokwenda.
 
Back
Top Bottom