Nadhani mtoa mada yeye focus yake kubwa ni "uzalendo na uzawa". Yaani anataka mtanzania ndio awe mshauri, hata kama uzoefu katika masuala ya negotiations za uwekezaji wa gesi, apewe tu hii advisory role.
Hoja zake za msingi ni zifuatazo:
1. Unajua mazungumzo haya yapo kwenye hatua gani na hata mshauri atafutwe wakati huu...
2. Je, TPDC hakuna wataalam wa gesi
3. Matusi na makasiriko kwa wachangiaji wenye mtazamo tofauti nayeye.
Nadhani hii kazi ya ushauri tumpe mtoa mada
Idugunde (kwa sababu yeye ni mtanzania mwenzetu) atashirikiana na Joni Boko pamoja na Harmonize.