Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Toka jasiri mwongoza njia atutoke hao jamaa hawana jipya.Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha.
Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa.
Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja udhalilishaji huu. Waheshimuni watangazaji wenu, bila ya wao nyie sio kitu
Kwa njia gani? Wanawapa mitaji?si wanawasaidia kupata kazi mpya
So why are they trying to play with our precious mind?Hakuna anayeondola hapo ni mind set hyo
Hiyo bizinesi ya ku-mind anayo?Mtu mzima kama wewe kufuatilia mambo ya kijinga ni aibu, mind your own business kaka acha watu na shughuli zao.
Interesting, watanzania tunapenda sana gossiping na mambo yasiyokuwa na maana, utaskia usiwe serious sana na maisha! Hata kama ila kuna baadhi ya mambo kufuatilia hapana kwakwleli, kwanza Mimi akija mtu kuniambia(say) umeona artist flani alichokifanya kiukweli huwa najitathmini hivi kwaasa nikoje amenionaje huyu au ameniona nafanania na mambo hayo ya udaku na gossipingMtu mzima kama wewe kufuatilia mambo ya kijinga ni aibu, mind your own business kaka acha watu na shughuli zao.
Hadi Sasali kawa fired? Nimeona James TupatupaClouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha.
Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa.
Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja udhalilishaji huu. Waheshimuni watangazaji wenu, bila ya wao nyie sio kitu.
View attachment 2712435
Clouds Media Group ni asasi kubwa wala sijaona kama jamaa amefanya jambo la kijinga kuandika alichokiandika. Labda tu useme kama una ugomvi nayeMtu mzima kama wewe kufuatilia mambo ya kijinga ni aibu, mind your own business kaka acha watu na shughuli zao.
Babu ulikuwa wapi ku join JF wakati inaanzishwa? Wenzio kina Kishoka tunawajua kwa ukongwe wao jukwaani, so wewe ni kinda tuHadi Sasali kawa fired? Nimeona James Tupatupa