''Mikataba Imeisha'' ya Clouds Tv ni program ya kidhalilishaji inayokiuka haki ya usiri mfanyakazi anapomaliza muda wake

''Mikataba Imeisha'' ya Clouds Tv ni program ya kidhalilishaji inayokiuka haki ya usiri mfanyakazi anapomaliza muda wake

Kama sijaelewa vibaya, mleta mada anahisi kutangaza mkataba kwisha ni kufanya mtangazaji aonekane hana dili. Mkataba kwisha na kutoingia mwingine sometimes huwa ni tatizo la mwajiri labda hana uwezo tena wa kubeba waajiri wengi.

Lakini pia ukitangaza inazuia mtu huyo kutumia nembo ya kampuni isivyo halali.

Pia kutangaza kunamsaidia mwajiriwa kupata ajira nyingine kirahisi.

Kulingana na comments zake nyingi inaonyesha mleta uzi ni mtu mzima nashangaa jinsi anavyowaza kitoto. Huenda ana akili za kitoto maana mtu mzima kufuatilia hizi chanels kwa kiwango hiki kuna tatizo.

Niko katikati ya 30's na naanza kupoteza mzuka na mambo ya kiki na trends, mzee anayafuatiliaje kama hana utindio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha.

Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa.

Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja udhalilishaji huu. Waheshimuni watangazaji wenu, bila ya wao nyie sio kitu.

View attachment 2712435
umeshaingia kwenye mfumo wa clouds na kampeni zao wanazotumia ku-brand program zao.
 
Back
Top Bottom