Mikate bora zaidi Tanzania

nasikia hao wahindi wa AKIDA wahuni kweli

unaweza kuajiriwa ndani ya hicho kiwanda hata miaka 20 lakini usijue mchanganyo wao kabisa

inasadikika wabongo wako kitengo cha kukanga unga tuh na kugeuza mikate kucheki mfuko iko sawa nk ila si kuchanganya mchanganyiko

NI kama Makocha wasaidizi wao ni kupanga koni tuh uwanja wa mazoezi basi, mchoro kocha mkuu ndio anao
 
Mkuu siyo gharama. Ni rahisi sana kwa bei. Ni ladha yake mbaya sana. Inatengenezwa na hizi nafaka za Rye, oats na hata ukitaka unaweza kutumia mtama au ulezi. Ni kama dawa kwa ladha japo unaweza kupaka vitu kama siagi au cheese.
Mkuu hiyo unaipata supermarket au wee niambie duka lipi local linauza hyo mikate meusi
 
Mwanza wana mkate wao unaitwa tiktok alooh!, ule mkate ni balaa tatizo ni brand name tu
 
Daaah hyo ndo trade secret mkuu..
Lazima iwepo ili kuepuka mambo ya Ctrl C
 
Supa loaf hana mpinzani kwa Dsm...ila Home Moshi kuna AKIDA nao ni hataree...pale Njia panda ya Himo nikipita lazima nichukue kama miwili mitatu ivi ndio niingie Home
 
Dodoma pia wale chief asili wana bidhaa bora sana ya mikate tofauti tofauti
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…