Mikate bora zaidi Tanzania

Mkate nakula wa sangweji tu, na ni mlo wa mchana, siyo asubuhi wala usiku,
Yaani niache kula vitumbua vya moto asubuhi nikale mikate? kwa kweli hapana

Mabumunda ni mikate Bora sana kwa wale wagonjwa na wanaopunguza uzito
 
Mi super loaf siuelewi siku hizi.Kuna wakati inakua mibichi kabisa ukifinyanga slace inakua kama ugali.Kwa sasa(DSM) naona Bora British bread au dogosa cake.
 
Sio brown bread huo naujua, huu nadhani ni wa kawaida tu umemixiwa na cocoa....ni mtamu sana.
Waganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasome
 
Waganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasome
Hakika, alikuaga anasafiri jamaa yangu kwenda Uganda basi akija analeta huo mkate sijawahi kula mkate mtamu kama huo.....
Hii ya Ar cha mtoto
 
Hakika, alikuaga anasafiri jamaa yangu kwenda Uganda basi akija analeta huo mkate sijawahi kula mkate mtamu kama huo.....
Hii ya Ar cha mtoto
Nimekaa Arusha sikuona jipya mikate mikavu haina hata ladha makubwa tu lkn hamna kitu, mikate ipo ug bhana
 
Waganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasome
Kuna mkate ulikuwa unaitwa Sakina unatokea Arusha siuon tena miaka mingi sijawah kula mkate mtamu Kama ule jamani hiyo mtukula ni mitamu kawaida tu haina tofauti na fahari/tiktok ta mwanza
Sakina ilikuwa kibokoo
 
Aaah itakuwa walikuletea ile ya kawaida mikate ya ug ni kiboko niamini, tz bado sana
 
Supa loaf naweza kuila bila kimiminika chochote zaidi ya mate tu
 
Hata Zambia, Zimbabwe mkate ni lazima kwenye breakfast
 
Sipendi mikate Sana ila hii mikate ya Uganda dah mitamu kuna wa maziwa na wa brown mitamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…