Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Huyu Mike hapo jana amesikika akiituhumu mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC ) ni chombo dhaifu na kisichofaa.
Hii yote ni sababu askari wa marekani wanatuhumiwa kufanya ukatiri na ukiukwaji wa haki za binadamu huko Afghanistan na sehemu mbalimbali( Hivyo wanatakiwa wafikishwe Hague).
Swali linakuja mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
Maana amezituhumu wazi wazi nchi kama nane ikiwemo Tanzania kuwa kunaukikwaji mkubwa wa haki za binadamu. Mpaka na vikwazo ametuwekea tusicheze Green card lottery.
Kama kweli ni mpenda haki za binadamu kwa nini tuhuma za ICC anazikanyagia?
Alafu sisi waafrica anatutolea macho, kisa hatutaki ushoga!