Dah ila jamii forums ina wajuaji sijapata kuona.. Angalia comments za Godzilla, ujuaji mwingi halafu anajichanganya mwenyewe.. Kwamba US wana mifumo imara ya kisheria kudeal na watu wao so haina haja ya ICC, tukiruhusu mentality za kitoto namna hii si kila taifa litasema lina mifumo sahihi ya kisheria kudeal na watu wao! Je ni kweli? Hata Sudan sio member wa ICC ila kwa kuwa sheria ya kuanzishwa kwao inawapa mandate ya kumtry individual ndo maana wanadeal na Bashir.. So USA anaweza kuwa sio member wa hii court ila raia wake mmoja mmoja wanaweza kuwa dealt na hii court kama watafanya uhalifu dhidi ya binadam.. Ndo ilivo na USA hili wanalijua ndo maana kila ICC wakigusia ishu za uhalifu wa wanajeshi wa US dhidi ya Waafghan, US hawataki kudeal nalo kisheria bali wanakimbilia vitisho dhidi ya ICC na presha za kiuchumi.. Jiulize kwanini wasipambane na ICC kisheria badala yake wakimbilie vikwazo vya kiuchumi na kidiplomasia.. Godzilla na wenzio wenye akili za kimalayer mnatia kichefuchefu