Mike Pompeo ni mnafiki na wala si mtetezi wa haki za binadamu

Ukizungumzia maovu ya Marekani utaambiwa hayakuhusu zungumzia maovu ya Tz ila Marekani akizungumzia maovu ya nchi zengine inaonekana anajari haki,ukihoji sana unaambiwa kama hutaki kusemwa na Marekani basi kataa na misaada yake.
 
Huyu Mike hapo jana amesikika akiituhumu mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC ) ni chombo dhaifu na kisichofaa.Hii yote ni sababu askari wa marekani wanatuhumiwa kufanya ukatiri na ukiukwaji wa haki za binadamu huko Afghanistan na sehemu mbalimbali( Hivyo wanatakiwa wafikishwe Hague)
Swali linakuja mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

Maana amezituhumu wazi wazi nchi kama nane ikiwemo Tz kuwa kunaukikwaji mkubwa wa haki za binadamu.Mpaka na vikwazo ametuwekea tusicheze Green card lottery.

Kama kweli ni mpenda haki za binadamu kwa nini tuhuma za ICC anazikanyagia? Alafu sisi waafrica anatutolea macho, kisa hatutaki ushoga!
Alisikika mlevi moja wa kiwango cha PhD akiropoka toka Kazuramimba
 
Ukizungumzia maovu ya Marekani utaambiwa hayakuhusu zungumzia maovu ya Tz ila Marekani akizungumzia maovu ya nchi zengine inaonekana anajari haki,ukihoji sana unaambiwa kama hutaki kusemwa na Marekani basi kataa na misaada yake.

Hata kwenye familia yenu mwenye pesa ndio anasikilizwa

Hata kukiwa na msiba hawezi kuzika mpaka mwenye pesa aje
 
Andika kitu yenye kubeba maji. Unapiga porojo hapa unadhani watu wote ni fyatu kama wewe!

Halafu hao US wana mifumo ya kisheria ambayo inaweza kuwawajibisha wahalifu wa kivita kupitia mahakama zao za ndani. Na infact wana sheria na mikataba inayozuia nchi za nje au mahakama za nje kuwashitaki wanajeshi wa marekani kwa makosa ya kivita!

Mgogoro wa ICC na marekani ni wa kisheria na kikanuni. Ndio maana hata maafisa wa ICC hawakurupuki hovyo linapokuja swala hilo.

Any mistake by the ICC might render all criminal proceedings a nullity. And before it even comes to that, the US will be entitled to defend and protect its jurisdiction in all ways it knows how. AND GUESS WHAT? chaos?

Usifananishe huo mgogoro na siasa zenu uchwara! Ati human right? Jinga kweli.

Next time usije ukaanza kufananisha hiyo Tanganyika yako na mifumo ya dunia. Tanganyika is a shithole and a lawless country.

SHUT UP and learn something!
Wewe kwa hicho kichwa chako unahisi US inaweza kuwashtaki wanajeshi wake hata kwenye hizo mahakama za ndani? Kuna wanajeshi wa nchi yoyote duniani wanaowashinda wanajeshi wa US kwa kukiuka haki za binadamu wasio wa nchi yao?
 
Kwenye familia yetu hakuna mambo hayo ila hayo mambo tunayaona kwenye jamii zetu mwenye pesa huwa hakosei,ndio maana mie huwa nasema hata huku waafrika kuona jamii zengine ni bora kuliko sisi na kujihisi tuna laana ni kwa sababu ya umasikini tu.

Unakuta mtu akiona polisi mzungu huko marekani akimpiga mtu mweusi basi anasema watu weusi wakorofi hivyo ni sawa sawa ila mtu mweusi huyo huyo akipigwa na polisi huku afrika inaonekana polisi ndio wenye makosa.
 
Kwani lazima umuongeleee mtu wa mabeberu? Si umuongeleee kabudi? Au kwenu Hakuna waziri wa mambo ya nje? Kutwa nzima kukaaa mnawaongelea wazungu na kuwaita mara mabeberu, Mara mashoga mkimaliza Kuwait hayo majina mnawatuma akina kabudi kupeleka ujumbe maaalum, mkifika huko kwao mnatafuta vyombo vya habari nakusifu kuwa wazungu wamenoga kuzidi mchalo, sasa tuwaeleweje? Mara ni mashoga, Mara ni mabeberu mara wamenoga kuzidi mchalo daaah mnatuyumbisha sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwa hicho kichwa chako unahisi US inaweza kuwashtaki wanajeshi wake hata kwenye hizo mahakama za ndani? Kuna wanajeshi wa nchi yoyote duniani wanaowashinda wanajeshi wa US kwa kukiuka haki za binadamu wasio wa nchi yao?
Mkuu wengine hao ni kuwapuuza tu, wajuaji hapa jf n wengi sana wengine wana akili nyingi Sana.
Sasa kumuelimisha mtu mwenye akili nyingi kiasi hicho ni ngumu sana mkuu.
Hapo anaandika yote hayo kuwa marekani inasheria zake zinazoweza kutoa haki kupitia mahakama za ndani.
Lakini hajiulizi ni kwanini marekani hataki kushitakiwa ICC??
Ni kwasababu wanajeshi wake hawatendi makosa??
Au kuna vitu anataka kuvificha kwa masilahi yake hataki vijulikane??

Kwanini anatulazimisha tuviamini vyombo vyake yeye vya ndani kuwa ndio vinatoa haki zaidi kuliko vya kimataifa?? Yaani afanye makosa yeye mwenyewe alafu ajishitaki mwenyewe huko kwao alafu sisi tumuamini??
 
Fyatu ni tusi?
Mwambie huyo shoga awe anasoma magazeti kama NYT ndio arukie hoja kama hizi. Kama ngeli hazipandi akae kimya.
Andika kitu yenye kubeba maji. Unapiga porojo hapa unadhani watu wote ni fyatu kama wewe!

Halafu hao US wana mifumo ya kisheria ambayo inaweza kuwawajibisha wahalifu wa kivita kupitia mahakama zao za ndani. Na infact wana sheria na mikataba inayozuia nchi za nje au mahakama za nje kuwashitaki wanajeshi wa marekani kwa makosa ya kivita!

Mgogoro wa ICC na marekani ni wa kisheria na kikanuni. Ndio maana hata maafisa wa ICC hawakurupuki hovyo linapokuja swala hilo.

Any mistake by the ICC might render all criminal proceedings a nullity. And before it even comes to that, the US will be entitled to defend and protect its jurisdiction in all ways it knows how. AND GUESS WHAT? chaos?

Usifananishe huo mgogoro na siasa zenu uchwara! Ati human right? Jinga kweli.

Next time usije ukaanza kufananisha hiyo Tanganyika yako na mifumo ya dunia. Tanganyika is a shithole and a lawless country.

SHUT UP and learn something!
Pumbavu kenge unajifanya unajua kumbe fala tu. Makosa yamefanyika Afghanistan ambaye ni member. Icc ina mandate ya kuchukua hatua sababu Us imefanya makosa ndani ya Afghanistan. Musome treaties alafu ndio muje.
 
Mkuu wengine hao ni kuwapuuza tu, wajuaji hapa jf n wengi sana wengine wana akili nyingi Sana.
Sasa kumuelimisha mtu mwenye akili nyingi kiasi hicho ni ngumu sana mkuu.
Hapo anaandika yote hayo kuwa marekani inasheria zake zinazoweza kutoa haki kupitia mahakama za ndani.
Lakini hajiulizi ni kwanini marekani hataki kushitakiwa ICC??
Ni kwasababu wanajeshi wake hawatendi makosa??
Au kuna vitu anataka kuvificha kwa masilahi yake hataki vijulikane??

Kwanini anatulazimisha tuviamini vyombo vyake yeye vya ndani kuwa ndio vinatoa haki zaidi kuliko vya kimataifa?? Yaani afanye makosa yeye mwenyewe alafu ajishitaki mwenyewe huko kwao alafu sisi tumuamini??
√√√√√√√
Umeandika vema sana mkuu asipokuelewa hapa basi kuna shida mahali.
 
Unahisi US inaweza kuwashtaki wanajeshi wake hata kwenye hizo mahakama za ndani? Kuna wanajeshi wa nchi yoyote duniani wanaowashinda wanajeshi wa US kwa kukiuka haki za binadamu wasio wa nchi yao?
Criminal prosecution sio tu swala la kuinuka na kuandaa mashtaka.

Sheria za kijeshi za marekani zinatoa Kinga kubwa kwa wanajeshi wake dhidi ya uwezekano wa mashtaka yoyote ya kivita ndani na nje ya nchi.

Makosa wanayoweza kushitakiwa nayo ndani ya nchi yanaweza yasiwepo chini ya mamlaka ya ICC, na mashitaka yaliyo katika mamlaka ya ICC yanaweza yasiwepo kwenye mamlaka ya sheria zao za ndani ya nchi. AND VICE VERSA?

The offences therefore become incompetent and untriable. The Courts become crippled for inability to posses or draw jurisdiction.

Nimetumia lugha rahisi ili layman kama wewe unielewe kwa uzuri.

Sio tu swala la kulia lia kwanini wanajeshi wa marekani hawashitakiwi. Let us see what the law says!

Hizo blah blah za kisiasa nakuachia wewe. You can debate all day, all time.
 
Anafikishwaje wakati Marekani sio mwanachama?
Screenshot_20200307-104241.jpeg

Kwa nini US haitaki kushitakiwa ICC?
 
US wanachotaka wao ndio haki za binadamu, hii wanatumia kama pazia la kufanya uharibifu wao. Saudia ni mmoja wa waaribifu wakubwa wa haki za binadamu lkn US haisemi kitu, ila angalia wanavyozishambulia nchi za Africa. Kumbuka wamejitoa pia kwny idara ya UN inayohusika na human rights, na pia wao sio member wa hiyo mahakama, ni sponsors tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kusoma wewe?
John Bolton, U.S. President Donald Trump's national security adviser, threatened on September 10 that Washington would impose sanctions against judges and prosecutors of the International Criminal Court (ICC) if they proceed with an investigation into war crimes allegedly committed in Afghanistan by Americans.
"We will ban its judges and prosecutors from entering the United States," Bolton said. "We will sanction their funds in the U.S. financial system, and, we will prosecute them in the U.S. criminal system. We will do the same for any company or state that assists an ICC investigation of Americans."
White House spokeswoman Sarah Sanders said Bolton's remarks came after the ICC told Washington it was "on the verge" of announcing a decision about possible Afghanistan investigations.
Sasa kwa nini Washington iliwapa vitisho ICC kuhusu kufanya kwao uchunguzi dhidi ya wamarekani? The problem is..,you know things in a nutshell.
 
Makonda, wewe umezuiliwa na Pompeo kwenda Marekani kwa sababu ya kuua watu. Ben Saanane na wengineo wengi tu. Kama ingekuwa ni sababu ya Ushoga hata Rais Museven pia angezuiwa kwenda huko. Sawa sawa?
 
Dah ila jamii forums ina wajuaji sijapata kuona.. Angalia comments za Godzilla, ujuaji mwingi halafu anajichanganya mwenyewe.. Kwamba US wana mifumo imara ya kisheria kudeal na watu wao so haina haja ya ICC, tukiruhusu mentality za kitoto namna hii si kila taifa litasema lina mifumo sahihi ya kisheria kudeal na watu wao! Je ni kweli? Hata Sudan sio member wa ICC ila kwa kuwa sheria ya kuanzishwa kwao inawapa mandate ya kumtry individual ndo maana wanadeal na Bashir.. So USA anaweza kuwa sio member wa hii court ila raia wake mmoja mmoja wanaweza kuwa dealt na hii court kama watafanya uhalifu dhidi ya binadam.. Ndo ilivo na USA hili wanalijua ndo maana kila ICC wakigusia ishu za uhalifu wa wanajeshi wa US dhidi ya Waafghan, US hawataki kudeal nalo kisheria bali wanakimbilia vitisho dhidi ya ICC na presha za kiuchumi.. Jiulize kwanini wasipambane na ICC kisheria badala yake wakimbilie vikwazo vya kiuchumi na kidiplomasia.. Godzilla na wenzio wenye akili za kimalayer mnatia kichefuchefu
 
Mimi nimeshamaliza. Wewe endelea kuhorojoka.
 
Back
Top Bottom