Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Huyu Mike hapo jana amesikika akiituhumu mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC ) ni chombo dhaifu na kisichofaa.Hii yote ni sababu askari wa marekani wanatuhumiwa kufanya ukatiri na ukiukwaji wa haki za binadamu huko Afghanistan na sehemu mbalimbali( Hivyo wanatakiwa wafikishwe Hague)
Swali linakuja mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Maana amezituhumu wazi wazi nchi kama nane ikiwemo Tz kuwa kunaukikwaji mkubwa wa haki za binadamu.Mpaka na vikwazo ametuwekea tusicheze Green card lottery.
Kama kweli ni mpenda haki za binadamu kwa nini tuhuma za ICC anazikanyagia? Alafu sisi waafrica anatutolea macho, kisa hatutaki ushoga!

Marekani ilisaini mkataba wa kuanzisha ICC ila hawajaratify. Na ICC ina mandate ya kuchunguza makosa ya wamarekani. Ndio maana huwa inawanyima visa inapoona wanafauatilia.Anafikishwaje wakati Marekani sio mwanachama?
Marekani ilisaini mkataba wa kuanzisha ICC ila hawajaratify. Na ICC ina mandate ya kuchunguza makosa ya wamarekani. Ndio maana huwa inawanyima visa inapoona wanafauatilia.
Inaonekana we unazipenda sana na ulishazizoea.Congo pia wana Green card lottery unaweza kucheza
Unajifanya utaki tamaduni zao wakati unataka kwenda kuishi kwao
Na hatujasikia mkajati wa nchi wa kutokomeza ushoga. Bali wanaongezeka kila siku na hawapewi bughuza yoyote.Hamtaki ushoga namna gani wakati mashoga wamejaa huko Tanganyika!?
Kwahiyo hao mashoga walioko huko Tanganyika wameletwa na pompeo?
Hebu acha ujinga wewe! Andika vitu ambavyo ni watertight usidhani unaandikia watoto wenzako!
Fuatilia ICC investigation on Afghastan.Acha kukariri.Means sio mwanachama
Mh...eHamtaki ushoga namna gani wakati mashoga wamejaa huko Tanganyika!?
Kwahiyo hao mashoga walioko huko Tanganyika wameletwa na pompeo?
Hebu acha ujinga wewe! Andika vitu ambavyo ni watertight usidhani unaandikia watoto wenzako!
Andika kitu yenye kubeba maji. Unapiga porojo hapa unadhani watu wote ni fyatu kama wewe!Mh...e
Mavi tu.una nini cha kunifundisha shoga wewe? Pumbavu zako. Au una hamu ya kuliwa! Haki za binadamu duniani zinapishana?Andika kitu yenye kubeba maji. Unapiga porojo hapa unadhani watu wote ni fyatu kama wewe!
Halafu hao US wana mifumo ya kisheria ambayo inaweza kuwawajibisha wahalifu wa kivita kupitia mahakama zao za ndani. Na infact wana sheria na mikataba inayozuia nchi za nje au mahakama za nje kuwashitaki wanajeshi wa marekani kwa makosa ya kivita!
Mgogoro wa ICC na marekani ni wa kisheria na kikanuni. Ndio maana hata maafisa wa ICC hawakurupuki hovyo linapokuja swala hilo.
Usifananishe huo mgogoro na siasa zenu za kijinga! Ati human right? Jinga kweli.
Next time usije ukaanza kufananisha hiyo Tanganyika yako na mifumo ya dunia. Tanganyika is a shithole and a lawless country.
Shut up and learn something!
M
Mavi tu.una nini cha kunifundisha shoga wewe? Pumbavu zako. Au una hamu ya kuliwa! Haki za binadamu duniani zinapishana?
Mbona dalili zote zinaonesha unaliwa. Na mzoefu hadi unanyonya pipe.Mamako alikufundisha kukalia mboro za wanaume ukadhani kila mtu ni shoga kama wewe!
Hebu kabong'oe huko! Alaah!
Matusi ya huyo shoga hujayaona? Acha ubwege.Lete hoja acha matusi, lete fact lete maandiko ya udhibitisho wa hoja yako.
Hapa sio Facebook ambako kutwa unajadili mambo ya umber rutty brother
Hapa ni JF,
Matusi ya huyo shoga hujayaona? Acha ubwege.