Mike Pompeo ni mnafiki na wala si mtetezi wa haki za binadamu

Mfano hauendani na mada kabisa.
 
Jamaa mtu wa ajabu sana anajichanganya tu ilimradi aingizie kiingereza kwenye paragraph zake... Pathetic.
 
Vingereza vingii kumbe ass hole. Jitu halijui hata ICC ina mamlaka gani hata kwa non member state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time usije ukaanza kufananisha hiyo Tanganyika yako na mifumo ya dunia. Tanganyika is a shithole and a lawless country.

Ujinga wako umifichuka hapo juu kwenye huu mstari!
 
Kama sikosei kipindi cha Obama walikuwa wanafikiria kuwa full members lkn Trump alipoingia tu madarakani alifuta hiyo kitu na aliwapiga bit kuhusu kuwafungulia kesi raia wa US. Walijaribu akawapiga sanction ya kunyimwa visa kuingia US baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa ICC akiwemo huyo mkuu wao. Kwa hiyo hata wakifungua kesi US haitaitekeleza maana sio member na Trump alishasema US haitampeleka raia wake kwny ICC.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time usije ukaanza kufananisha hiyo Tanganyika yako na mifumo ya dunia. Tanganyika is a shithole and a lawless country.

Ujinga wako umifichuka hapo juu kwenye huu mstari!
Hamna mkichwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…