Mike Tyson aliingia katika Uislamu kwa Hasira tu na mihemko. Simwoni kama ana Uislamu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.

Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.

Screenshot_2025-02-14-11-03-13-986_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-02-14-11-03-45-459_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-02-14-11-03-51-968_com.android.chrome.jpg
 
Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.

Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
Mtu yoyote akitamuka kalimah "shahadah" ni muislamu tayari huna haki ya kumuondoa, matendo yake yanabaki yeye na Mola wake, yjmeshuhudia sana viongozi wa Dini ambao ni wahalifu hata kumpita mvuta baghi, usihukumu mtu yoyote katika Imani yake ni yeye na Mola wake period.
 
Utatukana bure tu mkuu Ila hato yapo kwa dini zote.

Tunabagua dhambi, utashangaa msabato na muislamu wanapinga nguruwe Ila pembeni ni wazinzi, wanafki, wauaji etc

Na wengine utakuta Hawaui, hawazini na wanalaani kila anaeenda kwa mganga Ila pembeni ni wasengenyaji na wala rushwa wakubwa..

Kwa hiyo naona wengi tunabagua dhambi zinazotufaa na kuzikalia kimya Ila tunapigia kelele tusizozifanya
 
Wewe sio muislamu kwa nn unapenda kuusemea uislamu?🤣🤣

Waache waislamu sio kujifanya muislamu kwa kukejeli.
Sijaona kama una uwezo wa kuamua mimi kuwa au kutokuwa muislamu sijajua alama unayoangalia kujua najifanya au sijifanyi
 
Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.

Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.

View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Mkuu, jitahidi sana kutenganisha mtu na imani ya dini! huyu ni kama helikopta ambayo haichagui kwa kutua.
 
Mtu yoyote akitamuka kalimah "shahadah" ni muislamu tayari huna haki ya kumuondoa, matendo yake yanabaki yeye na Mola wake, yjmeshuhudia sana viongozi wa Dini ambao ni wahalifu hata kumpita mvuta baghi, usihukumu mtu yoyote katika Imani yake ni yeye na Mola wake period.
Weeeeeeeh..... Sema kweli?😳
 
Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.

Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.

View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Huwa Hawa wajamaa pro mudi Wana mikakati maalumu

🔹 Kutumia FEDHA nyingi kuwarubuni watu maarufu duniani wajiunge nao ili wawatumie kwenye promotion ya kueneza dini Yao idhaniwayo kuwa ni ya amani. Sasa hivi wanapambana na Christian Ronaldo kwa kutumia AI kumvalisha kanzu na kuwaaminisha watu amebadili ila kimsingi wameshindwa

🔹 Kuwatumia mabinti.zao kuwarubuni wanaume kupata ndoa nao na kubadili dini

🔹 Kuharibu kuongiza kwenye Sheria za nchi sheria na mifumo Yao

🔹Midaalo ya kuzinanga Imani nyingine

🔹 Active violence
 
Huwa Hawa wajamaa pro mudi Wana mikakati maalumu

[emoji843] Kutumia FEDHA nyingi kuwarubuni watu maarufu duniani wajiunge nao ili wawatumie kwenye promotion ya kueneza dini Yao idhaniwayo kuwa ni ya amani. Sasa hivi wanapambana na Christian Ronaldo kwa kutumia AI kumvalisha kanzu na kuwaaminisha watu amebadili ila kimsingi wameshindwa

[emoji843] Kuwatumia mabinti.zao kuwarubuni wanaume kupata ndoa nao na kubadili dini

[emoji843] Kuharibu kuongiza kwenye Sheria za nchi sheria na mifumo Yao

[emoji843]Midaalo ya kuzinanga Imani nyingine

[emoji843] Active violence
Wewe ni mpumbavu kweli acha udini na chuki...... Uislamu hawa bembelezi mtu kuslimu kwasababu kuislimu ni kwa faida zako Islam ndo dini ya asiri kila mtu huzaliwa muislamu ila anabadilishwa na wazazi wake ambao sio waislamu, hamna wa kuhonga mtu aingie kwenye Dini ya haki.
 
Cha muhimu ni kutoka katika kukufuru na kumuamini Mungu mmoja dhambi zingine ataendelea kulinganiwa na ataziacha kama alivyoacha ibada za sanamu, na miungu watu.
I pray to Allah to continue guiding him in the right path Inshaallah
 
Back
Top Bottom