The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Alitaka kuvuta pesa za waarabu wao ukisilimu kwao ni ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtukane mpaka leo akome huyo jamaa...Wewe ni mpumbavu kweli acha udini na chuki...... Uislamu hawa bembelezi mtu kuslimu kwasababu kuislimu ni kwa faida zako Islam ndo dini ya asiri kila mtu huzaliwa muislamu ila anabadilishwa na wazazi wake ambao sio waislamu, hamna wa kuhonga mtu aingie kwenye Dini ya haki.
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana......Cha muhimu ni kutoka katika kukufuru na kumuamini Mungu mmoja dhambi zingine ataendelea kulinganiwa na ataziacha kama alivyoacha ibada za sanamu, na miungu watu.
I pray to Allah to continue guiding him in the right path Inshaallah
Sio kubembelezaWewe ni mpumbavu kweli acha udini na chuki...... Uislamu hawa bembelezi mtu kuslimu kwasababu kuislimu ni kwa faida zako Islam ndo dini ya asiri kila mtu huzaliwa muislamu ila anabadilishwa na wazazi wake ambao sio waislamu, hamna wa kuhonga mtu aingie kwenye Dini ya haki.
Kwani jitihada au jihudi ina ubaya gani? ndo maana ya jihad nyie wivu utawamaliza islam came to stay.Sio kubembeleza
[emoji843]Kuhonga
[emoji843]Jihad
Hamna kituKauli yako haigeuzi uhalisia wa mimi ni nani. Sijawahi tukana na mtu
KabisaHamna kitu
Wengi wetu siku hizi tunatumia mgongo wa dini kuficha maovu yetu.Sheikh gani muuza bangi????
Usifanye masihara na mpunga toka ArabiaJamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Nakukubalia kabisa. Upo sahihi. 🤜🤛 Nipe gwala.Kwan huyo Tyson ni nani? Ni binadam kama sisi so kubadili kwakwe din hakumfany yeye kuacha Yale alikua anafanya Sion Cha ajabu hapo kwanza din haimpelek mtu mbingun
Wagalatia mtashndwa nini kwa uzushi?..kama mmeweza kumsingizia Yesu ni mungu mtashndwa kwa lipi?..Yanii muislam awe muislam mpk amfuatishe mtu maarufu?..Mbn wewoo?..Mpk leo Brian Deacon wengi wanaamini ndo Yesu..hapo sembuse picha na kumchongea vinyago ili watu waamini ni Yesu ipi ni active violence?Huwa Hawa wajamaa pro mudi Wana mikakati maalumu
🔹 Kutumia FEDHA nyingi kuwarubuni watu maarufu duniani wajiunge nao ili wawatumie kwenye promotion ya kueneza dini Yao idhaniwayo kuwa ni ya amani. Sasa hivi wanapambana na Christian Ronaldo kwa kutumia AI kumvalisha kanzu na kuwaaminisha watu amebadili ila kimsingi wameshindwa
🔹 Kuwatumia mabinti.zao kuwarubuni wanaume kupata ndoa nao na kubadili dini
🔹 Kuharibu kuongiza kwenye Sheria za nchi sheria na mifumo Yao
🔹Midaalo ya kuzinanga Imani nyingine
🔹 Active violence