baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hivi kuna watu wanatumia pesa kurubuni watu dunia hii kushinda wakristo?Huwa Hawa wajamaa pro mudi Wana mikakati maalumu
🔹 Kutumia FEDHA nyingi kuwarubuni watu maarufu duniani wajiunge nao ili wawatumie kwenye promotion ya kueneza dini Yao idhaniwayo kuwa ni ya amani. Sasa hivi wanapambana na Christian Ronaldo kwa kutumia AI kumvalisha kanzu na kuwaaminisha watu amebadili ila kimsingi wameshindwa
🔹 Kuwatumia mabinti.zao kuwarubuni wanaume kupata ndoa nao na kubadili dini
🔹 Kuharibu kuongiza kwenye Sheria za nchi sheria na mifumo Yao
🔹Midaalo ya kuzinanga Imani nyingine
🔹 Active violence
Hapo Usa wengi waliofuata uisilamu career zao zliandamwa na waliporomoka. So kusema waliofuata uislamu sababu ya pesa ni hoja dhaifu sana.
Mtu kama Tyson, Muhammad Ali, Malcom X etc wote Walipata matatizo baada ya kusilimu, career zao zikayumba na kuishi kwa kusemwa, kutengwa etc.