Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
JAdili hoja mdogo. Maana naona leo mimi kuamka na Fatuma kama inakuuma sababu ananikatia vinu.Waislamu wamekufanyaje mkuu? Maana naona leo umeamka nao, uzi wa pili huu unawashushia Vinu
Mtu yoyote akitamuka kalimah "shahadah" ni muislamu tayari huna haki ya kumuondoa, matendo yake yanabaki yeye na Mola wake, yjmeshuhudia sana viongozi wa Dini ambao ni wahalifu hata kumpita mvuta baghi, usihukumu mtu yoyote katika Imani yake ni yeye na Mola wake period.Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
Sijaona kama una uwezo wa kuamua mimi kuwa au kutokuwa muislamu sijajua alama unayoangalia kujua najifanya au sijifanyiWewe sio muislamu kwa nn unapenda kuusemea uislamu?🤣🤣
Waache waislamu sio kujifanya muislamu kwa kukejeli.
Mkuu, jitahidi sana kutenganisha mtu na imani ya dini! huyu ni kama helikopta ambayo haichagui kwa kutua.Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Weeeeeeeh..... Sema kweli?😳Mtu yoyote akitamuka kalimah "shahadah" ni muislamu tayari huna haki ya kumuondoa, matendo yake yanabaki yeye na Mola wake, yjmeshuhudia sana viongozi wa Dini ambao ni wahalifu hata kumpita mvuta baghi, usihukumu mtu yoyote katika Imani yake ni yeye na Mola wake period.
Eti eeeeeeh?🤔 SawaMkuu, jitahidi sana kutenganisha mtu na imani ya dini! huyu ni kama helikopta ambayo haichagui kwa kutua.
Wewe hujui vigezo vya kua muislamu? Ni kuuoa shahada tu, mengine ni wewe na Mola wako tu.Weeeeeeeh..... Sema kweli?[emoji15]
Wewe sio muislamu bali unafanya kejeli 🤣🤣🤣angalia matusi yako huko nyuma.Sijaona kama una uwezo wa kuamua mimi kuwa au kutokuwa muislamu sijajua alama unayoangalia kujua najifanya au sijifanyi
Huwa Hawa wajamaa pro mudi Wana mikakati maalumuJamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Kauli yako haigeuzi uhalisia wa mimi ni nani. Sijawahi tukana na mtuWewe sio muislamu bali unafanya kejeli 🤣🤣🤣angalia matusi yako huko nyuma.
Wewe ni mpumbavu kweli acha udini na chuki...... Uislamu hawa bembelezi mtu kuslimu kwasababu kuislimu ni kwa faida zako Islam ndo dini ya asiri kila mtu huzaliwa muislamu ila anabadilishwa na wazazi wake ambao sio waislamu, hamna wa kuhonga mtu aingie kwenye Dini ya haki.Huwa Hawa wajamaa pro mudi Wana mikakati maalumu
[emoji843] Kutumia FEDHA nyingi kuwarubuni watu maarufu duniani wajiunge nao ili wawatumie kwenye promotion ya kueneza dini Yao idhaniwayo kuwa ni ya amani. Sasa hivi wanapambana na Christian Ronaldo kwa kutumia AI kumvalisha kanzu na kuwaaminisha watu amebadili ila kimsingi wameshindwa
[emoji843] Kuwatumia mabinti.zao kuwarubuni wanaume kupata ndoa nao na kubadili dini
[emoji843] Kuharibu kuongiza kwenye Sheria za nchi sheria na mifumo Yao
[emoji843]Midaalo ya kuzinanga Imani nyingine
[emoji843] Active violence
Kweli eeeeh? Hata sikuwa najuaWewe sio muislamu bali unafanya kejeli 🤣🤣🤣angalia matusi yako huko nyuma.