Mike Tyson aliingia katika Uislamu kwa Hasira tu na mihemko. Simwoni kama ana Uislamu

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtukane mpaka leo akome huyo jamaa...
 
Cha muhimu ni kutoka katika kukufuru na kumuamini Mungu mmoja dhambi zingine ataendelea kulinganiwa na ataziacha kama alivyoacha ibada za sanamu, na miungu watu.
I pray to Allah to continue guiding him in the right path Inshaallah
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana......
 
Sio kubembeleza
🔹Kuhonga
🔹Jihad
 
Sasa kipi hapo kinakutatiza wakati Waislamu wanaongoza kwa kuvuta bangi.. angalia maeneo ya pwani idadi kubwa ya vijana ni wavuta bange hadi wanawake...
 
Uislam wa marekani ni tofauti na ule wa wengine, kule ukiwa muislam hata mashoga unasapoti, na ni uislam wa kizungu, hakuna fujo, hakuna jihad, na wengine wanaenda ili kuwakamata waarabu wawape pesa, hasa hao wanamichezo.
 
Usifanye masihara na mpunga toka Arabia
 
Kwan huyo Tyson ni nani? Ni binadam kama sisi so kubadili kwakwe din hakumfany yeye kuacha Yale alikua anafanya Sion Cha ajabu hapo kwanza din haimpelek mtu mbingun
 
Hivi ulikua banned? Alokutoa akurudishe huko huko😀😀
 
Afghanstan pamoja na kutumia sharia za allah kabisa lakini ndio source kubwa ya mihadarati duniani, so bangi haina uhusiano na imani kabisa, mbalimbali!
 
dawa hiyo mkuu

angekuwepo Mohamed Ali angejibu vizuri swalilako

umevuta ngapi stiki Leo (mdau)
 
Wagalatia mtashndwa nini kwa uzushi?..kama mmeweza kumsingizia Yesu ni mungu mtashndwa kwa lipi?..Yanii muislam awe muislam mpk amfuatishe mtu maarufu?..Mbn wewoo?..Mpk leo Brian Deacon wengi wanaamini ndo Yesu..hapo sembuse picha na kumchongea vinyago ili watu waamini ni Yesu ipi ni active violence?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…