Angebaki kwenye ukristu ungeona sawa? Kwamba midhambi yote ni wakristu wanafanyaJamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Kwahiyo kaka kma angebaki katika Ukristo na angeendelea kulima na kuuza bange ungesemaje!!? Yan Kwa hilo bandiko lako unazihirisha uislam haupend mahasiJamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Tyson hakuwahi kuwa MkristoAngebaki kwenye ukristu ungeona sawa? Kwamba midhambi yote ni wakristu wanafanya
Sababu Ya Hizo Ndevu Ndo Imekupelekea Kuingia Chaka Ila Jifunze KituIjaribu mkuuu
View attachment 3236131
Uislam dini ya juzi,budha,hindu na jewsni dini za kale sanabora useme kila mtu huzaliwani jews ungeelewekaWewe ni mpumbavu kweli acha udini na chuki...... Uislamu hawa bembelezi mtu kuslimu kwasababu kuislimu ni kwa faida zako Islam ndo dini ya asiri kila mtu huzaliwa muislamu ila anabadilishwa na wazazi wake ambao sio waislamu, hamna wa kuhonga mtu aingie kwenye Dini ya haki.
Dini ya asili ilianza miaka 14.. iliopita ikishindana na dini mpya ilioanza miaka elfu 2 iliopita? πWewe ni mpumbavu kweli acha udini na chuki...... Uislamu hawa bembelezi mtu kuslimu kwasababu kuislimu ni kwa faida zako Islam ndo dini ya asiri kila mtu huzaliwa muislamu ila anabadilishwa na wazazi wake ambao sio waislamu, hamna wa kuhonga mtu aingie kwenye Dini ya haki.
Mashindano gani kwani kabla ya Yesu kuja si kulikua na mitume waliotangulia?Dini ya asili ilianza miaka 14.. iliopita ikishindana na dini mpya ilioanza miaka elfu 2 iliopita? π
Hao mitume walikuwa dini gani maana uislamu ulianza miaka elfu moja na mia nne iliopita πMashindano gani kwani kabla ya Yesu kuja si kulikua na mitume waliotangulia?
mike ataendelea kuwa muislam tu. Tofautisha kati ya Uislam ambao ni dini iliyokamilika na Muislam ambaye ni binadamu hajakamilika.Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129
Oooooh.... Kumbe hata uislamu wenyewe haueleweki.mike ataendelea kuwa muislam tu. Tofautisha kati ya Uislam ambao ni dini iliyokamilika na Muislam ambaye ni binadamu hajakamilika.
Mbn umepewa jibu rahisi sana na mwana hapo kama umeweza kupinga waraka wa Papa Francis kwa nini usishndw kumpinga Tyson ambaye ni binadamu pia kama Papa FrancisOooooh.... Kumbe hata uislamu wenyewe haueleweki.
Dhambi pia zina Grade, usimfanishe muuaji na mtu aliesengenya ama kusema uongo, zote ni Dhambi unatakiwa uache ila uzito wake ni tofauti,Utatukana bure tu mkuu Ila hato yapo kwa dini zote.
Tunabagua dhambi, utashangaa msabato na muislamu wanapinga nguruwe Ila pembeni ni wazinzi, wanafki, wauaji etc
Na wengine utakuta Hawaui, hawazini na wanalaani kila anaeenda kwa mganga Ila pembeni ni wasengenyaji na wala rushwa wakubwa..
Kwa hiyo naona wengi tunabagua dhambi zinazotufaa na kuzikalia kimya Ila tunapigia kelele tusizozifanya
Hapo ndo wagalatia mlipoachiwa laana ya kuwadhihaki mitume ya mwenyezimungu kwa uzushi...mitume yote ilishahadia laailah ilhah lau waahdahu laah shirka lau...Mungu ni mmoja wa kuabudiwa na hana mshirika..kama sie waislam tunavyofanya..ila nyie wagalatia mnaamini kwny utatu Trinity..wengine Yesu mmefanya ni mungu mnashirikisha mwenyezimungu kwa kula udongo na kujisiliba mafuta wengine mpk leo wanaabudu sanamuHao mitume walikuwa dini gani maana uislamu ulianza miaka elfu moja na mia nne iliopita π
Unaota wewe πHapo ndo wagalatia mlipoachiwa laana ya kuwadhihaki mitume ya mwenyezimungu kwa uzushi...mitume yote ilishahadia laailah ilhah lau waahdahu laah shirka lau...Mungu ni mmoja wa kuabudiwa na hana mshirika..kama sie waislam tunavyofanya..ila nyie wagalatia mnaamini kwny utatu Trinity..wengine Yesu mmefanya ni mungu mnashirikisha mwenyezimungu kwa kula udongo na kujisiliba mafuta wengine mpk leo wanaabudu sanamu
Sasa kama wewe unaamini Yesu mi mungu unakubaliana kwmb Yesu alimuumba mama'ke na kumkadiria uzuri yanii anajua maumbile ya wazazi wake?
Basi si ukubali tu waraka wa Papa Francis..Unaota wewe π
Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au ndo aliweza shawishiwa kirahisi sababu pia alikuwa empty in his soul? Mi simwelewi kabisa huyu sheikh mike.
View attachment 3236127View attachment 3236128View attachment 3236129