Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Hawa ni wababe ambao mwishoni mwa miaka ya 90 waliitikisa dunia katika ndondi.

Moja ya pambano la kukumbukwa ni mmoja wao kung’atwa sikio.

Kwasasa wamezeeka ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.

IMG_9796.jpeg
 
I remember that day, natazama pambano naona mabondia wamekumbatiana, ghafla kuachiana namuona Evander anaruka ruka kwa hasira huku akimuonesha refa sikio lililon'gatwa, refa anasimamisha pambano Evander apatiwe huduma ya kwanza damu zikichuruzika shavuni.

Kama tukizungumzia heavy weight boxing, miaka ile ndio ilikuwa haswaa, sio siku hizi kina Deontay Wilder, Tyson Fury, Anthony Joshua ndio wanagombea mikanda, wote wauza sura tu kwangu mimi niliyewahi kuishuhudia miamba ile ya 90's...

Enzi kina Lennox Lewis wanastaafu kwa usalama wao kuogopa kipigo toka kwa wale bondia wawili wa Ukraine nimesahau majina yao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kina klitschko
 
My favourite alikuwa Lenox Lewis, yaani nilikuwa namkubali sana huyu Muingereza. Hakuwa na papara kama Mike, ila mzigo ukitua lazima ukulaze chini, sema lile pambano la SA almaarufu "Thunder in Africa" akagongwa kibabe sana na Hasim Rahman.

This man was overrated.

Tyson was the real deal , kifo cha yule trainer wake Yule mzee kilifanya Tyson ajiachie na mavilevya matokeo yake akapoteza uhalisia

In his prime , wote walikuwa wanaogopa to fight Tyson.

He was really heavyweight
 
Mike mwenyewe alikuwa anamgwaya Lenox, kila alipangiwa pambano anamkwepa.
 
Mike mwenyewe alikuwa anamgwaya Lenox, kila alipangiwa pambano anamkwepa.

Mabondia wanajua sana timing . Miaka ile ya Tyson late 80s, Tyson akiwa na Cus D’ amato Hakuna aliyethubutu kuomba pambano na Tyson

Those days Tyson was free from Alcohol, Ganja na Cocaine . He was innocent. Alikuwa ngumi zake 3 unakwenda down

D’ amato alivyokufa tu , Tyson akaanza pombe bangi na unga, kwenye ngumi hivo vitu ni adui kwa sabababu vinafanya round chache unakuwa hoi na unakosa balance . Yule mzee alikuwa akimpiga makofi Tyson akileta ujinga

Hao jamaa zako walimkuta Tyson yupo deep kwenye recreational drugs , na akaanza kuwa bonge , no pumzi
Ikawa rahisi kumpiga

Hata pambano la lenox, tyson alikuwa ameshafulia hata financially , so alikuwa anatafuta hela tu
 
Mambo tuyafanyayo maishani yana ukomo
Kaka Miili ni ya muda tu , kuna kipindi itachakaa Mpaka unashangaa na hatimaye Kuisha Kabisa.
Utashangaa watu wanaringa na uzuri au ubabe na maguvu ya miili .
Roho ndiyo kitu cha kudumu , roho haichakai wala haizeeki .
Tujitahidi Kutengeneza roho zetu ziwe nzuri na kumtii Mungu muumbaji.
 
Back
Top Bottom