100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Kazi Ina pesa hii lakini vijana wamekomaa na bongo flava, boxing inahitaji nidhamu ya hali ya juu, passion, kujitoa na uvumilivu, boxing haitaki umalaya, sigara, pombe vyakula havieleweki.. na vilevi vingine.
Ndio maana vijana wengi wanaikimbia.
Kuna kipindi Mike Tyson alikaa 5 years hajala mbususu, lakini kwenye interview baadae alisema ulikuwa ni ujinga japo ukweli ni kwamba umalaya na boxing ni moto na maji.
Na kumpiga mtu aende chini sio uzito wa ngumi pekee utaangusha mpinzani, bali ngumi asiyotarajia either alidhani ameblock halafu ikapenya au ngumi mfano wa hook huwa inatokea pembeni kama hakuiona lazima imlambishe sakafu. Hii style Tyson aliitumia sana kupiga watu KO, inarushwa hook haionekani.
Uppercut ndio mbaya kabisa hio akipigwa mtu hana mazoezi hasa ugomvi wa mtaani anaweza jisaidia.