Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

Wakati hao wakitamba huku bongo unakutana na akina Rashid Matumla “Snake Boy”

Maneno Oswald “Mtambo wa Gongo”

Sijui wako wapi siku hizi?
 
I remember that day, natazama pambano naona mabondia wamekumbatiana, ghafla kuachiana namuona Evander anaruka ruka kwa hasira huku akimuonesha refa sikio lililon'gatwa, refa anasimamisha pambano Evander apatiwe huduma ya kwanza damu zikichuruzika shavuni.

Kama tukizungumzia heavy weight boxing, miaka ile ndio ilikuwa haswaa, sio siku hizi kina Deontay Wilder, Tyson Fury, Anthony Joshua ndio wanagombea mikanda, wote wauza sura tu kwangu mimi niliyewahi kuishuhudia miamba ile ya 90's...

Enzi kina Lennox Lewis wanastaafu kwa usalama wao kuogopa kipigo toka kwa wale bondia wawili wa Ukraine nimesahau majina yao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Vitali Klitschko na Vladimir Klitschko, wakijulikana kama Klitschko Brothers
 
This man was overrated.

Tyson was the real deal , kifo cha yule trainer wake Yule mzee kilifanya Tyson ajiachie na mavilevya matokeo yake akapoteza uhalisia

In his prime , wote walikuwa wanaogopa to fight Tyson.

He was really heavyweight
Alikuwa akiitwa cruseu diomato
 
My favourite alikuwa Lenox Lewis, yaani nilikuwa namkubali sana huyu Muingereza. Hakuwa na papara kama Mike, ila mzigo ukitua lazima ukulaze chini, sema lile pambano la SA almaarufu "Thunder in Africa" akagongwa kibabe sana na Hasim Rahman.
Lewis alikuwa na ngumi nzito ila pumzi ilikuwa tia maji. Evender alikuwa ni bondia mgumu sana kumpiga, ana ngumi nzito na anastahimili mashambulizi kwa muda mrefu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mabondia wanajua sana timing . Miaka ile ya Tyson late 80s, Tyson akiwa na Cus D’ amato Hakuna aliyethubutu kuomba pambano na Tyson

Those days Tyson was free from Alcohol, Ganja na Cocaine . He was innocent. Alikuwa ngumi zake 3 unakwenda down

D’ amato alivyokufa tu , Tyson akaanza pombe bangi na unga, kwenye ngumi hivo vitu ni adui kwa sabababu vinafanya round chache unakuwa hoi na unakosa balance . Yule mzee alikuwa akimpiga makofi Tyson akileta ujinga

Hao jamaa zako walimkuta Tyson yupo deep kwenye recreational drugs , na akaanza kuwa bonge , no pumzi
Ikawa rahisi kumpiga

Hata pambano la lenox, tyson alikuwa ameshafulia hata financially , so alikuwa anatafuta hela tu
Tyson wa kipindi hiki ni nani ambaye angeweza kumpiga? The boy was extremely dangerous!

I remember that day, natazama pambano naona mabondia wamekumbatiana, ghafla kuachiana namuona Evander anaruka ruka kwa hasira huku akimuonesha refa sikio lililon'gatwa, refa anasimamisha pambano Evander apatiwe huduma ya kwanza damu zikichuruzika shavuni.

Kama tukizungumzia heavy weight boxing, miaka ile ndio ilikuwa haswaa, sio siku hizi kina Deontay Wilder, Tyson Fury, Anthony Joshua ndio wanagombea mikanda, wote wauza sura tu kwangu mimi niliyewahi kuishuhudia miamba ile ya 90's...

Enzi kina Lennox Lewis wanastaafu kwa usalama wao kuogopa kipigo toka kwa wale bondia wawili wa Ukraine nimesahau majina yao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Vitali na Wladmil Klitschko.
 
Back
Top Bottom