Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Kina klitschkoI remember that day, natazama pambano naona mabondia wamekumbatiana, ghafla kuachiana namuona Evander anaruka ruka kwa hasira huku akimuonesha refa sikio lililon'gatwa, refa anasimamisha pambano Evander apatiwe huduma ya kwanza damu zikichuruzika shavuni.
Kama tukizungumzia heavy weight boxing, miaka ile ndio ilikuwa haswaa, sio siku hizi kina Deontay Wilder, Tyson Fury, Anthony Joshua ndio wanagombea mikanda, wote wauza sura tu kwangu mimi niliyewahi kuishuhudia miamba ile ya 90's...
Enzi kina Lennox Lewis wanastaafu kwa usalama wao kuogopa kipigo toka kwa wale bondia wawili wa Ukraine nimesahau majina yao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
My favourite alikuwa Lenox Lewis, yaani nilikuwa namkubali sana huyu Muingereza. Hakuwa na papara kama Mike, ila mzigo ukitua lazima ukulaze chini, sema lile pambano la SA almaarufu "Thunder in Africa" akagongwa kibabe sana na Hasim Rahman.
Mike mwenyewe alikuwa anamgwaya Lenox, kila alipangiwa pambano anamkwepa.This man was overrated.
Tyson was the real deal , kifo cha yule trainer wake Yule mzee kilifanya Tyson ajiachie na mavilevya matokeo yake akapoteza uhalisia
In his prime , wote walikuwa wanaogopa to fight Tyson.
He was really heavyweight
Mike mwenyewe alikuwa anamgwaya Lenox, kila alipangiwa pambano anamkwepa.
Nilimaliza mapenzi yangu ya ngumi kwao.Lennox Lewis , Mike Tyson na Frank Bruno
Kaka Miili ni ya muda tu , kuna kipindi itachakaa Mpaka unashangaa na hatimaye Kuisha Kabisa.Mambo tuyafanyayo maishani yana ukomo