Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

Wakati hao wakitamba huku bongo unakutana na akina Rashid Matumla “Snake Boy”

Maneno Oswald “Mtambo wa Gongo”

Sijui wako wapi siku hizi?
 
Vitali Klitschko na Vladimir Klitschko, wakijulikana kama Klitschko Brothers
 
This man was overrated.

Tyson was the real deal , kifo cha yule trainer wake Yule mzee kilifanya Tyson ajiachie na mavilevya matokeo yake akapoteza uhalisia

In his prime , wote walikuwa wanaogopa to fight Tyson.

He was really heavyweight
Alikuwa akiitwa cruseu diomato
 
My favourite alikuwa Lenox Lewis, yaani nilikuwa namkubali sana huyu Muingereza. Hakuwa na papara kama Mike, ila mzigo ukitua lazima ukulaze chini, sema lile pambano la SA almaarufu "Thunder in Africa" akagongwa kibabe sana na Hasim Rahman.
Lewis alikuwa na ngumi nzito ila pumzi ilikuwa tia maji. Evender alikuwa ni bondia mgumu sana kumpiga, ana ngumi nzito na anastahimili mashambulizi kwa muda mrefu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tyson wa kipindi hiki ni nani ambaye angeweza kumpiga? The boy was extremely dangerous!

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Vitali na Wladmil Klitschko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…