Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,445
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
 
customer care wa voda alinambia ni mechi moja kwa kila betting. so unaweza tandaza mkeka hadi game 5. na vipi kuweka handcap na normal in one mkeka?

mkeka unaweka hata game 5 cha msingi ni kwenda na kasi ya kubonyeza batan coz unapewa dk 2 kutengeneza mkeka. Ila huku kwnye voda huwezi changanya handcap na normal.
 
Mie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga
 
Odds zao hua zinabadilika badilika kulingana na game na muda unavyo kwenda ukibet kama siku tatu kabla ya game odds zinakua nzuri na kiwango cha return ukipiga mkeka kwa ligi za kawaida ni USD 163000 kwa game za uefa wanatoa hadi USD 1600000 kwa mkeka ukishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…