NAHITAJI MEMBER WA WILI WENYE NDOTO YA KUPIGA HII PESA TUUNGANISHE NGUVUView attachment 1048563
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau alijaribu wik iliyoisha kwa laki mikeka 50 ,, Sijui vipi aliambulia hata timu 10...tatizo mechi wanazochagua Ni ngumu saanaaNAHITAJI MEMBER WA WILI WENYE NDOTO YA KUPIGA HII PESA TUUNGANISHE NGUVUView attachment 1048563
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mpwa wanguBuddy
Void
Soka255
Wapwaaa tujaribumzigoo wa basketball
Mdomana mi huwa ninatenga 15000 ya kuku wa kienyeji deile labda mambo yabume sana... yani kila baada ya siku mbili natandika kuku fresh maana hii mishe ni stress tupu.Kweli kubeti ni kazi. Nikioa tu mke inabd awe ananiambia poleee mana kama ni kuchoka nachoka haswa. Saa nane hii nilale saa 1asubh niwe macho inplay za basket. This is work
Kabsa chiefMdomana mi huwa ninatenga 15000 ya kuku wa kienyeji deile labda mambo yabume sana... yani kila baada ya siku mbili natandika kuku fresh maana hii mishe ni stress tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kupoteza muda wako na kujiona huna bahati basi komaa na jackpotNdugu WEEKEND HII NILIBET JACKPOT MIL 500 kwa kushirikiana na jamaa zangu lkn skufanikisha..
Hiyo pesa ni nyigi saaana.
Kwa nn weekend ijayo wote Tusiungane tubashiri na tubet...?
Naomba kuungwa mkono na tulufanyie kazi
Sent using Jamii Forums mobile app