Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapi wazee wa over
Game inatema magoli balaa
Screenshot_2019-03-19-17-59-57.jpeg
 
Ukitaka kupoteza muda wako na kujiona huna bahati basi komaa na jackpot

Ni kupoteza muda wako tu mkuu, toka iaenza umesikia wangapi wameshinda ? Ila watu wanakula kawaida daily na sio jackpot

Utaota kila siku umenunue gorofa kwa jackpot matokeo yakitoka unakuta ume hit 5 kati ya 17

Ukiwaambia hvyo watakuona kama Unadharau! Waache tu wakomae watu wengi washaongea humu jackport ni use.nge ila hawasikii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom