Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

_*〽Y BANK ALERT 💰💰💰💰💰*_

*📗 Z5YNM33X*
*⌚ 07:20*

🎾 2045 Zhangjiagang, China
Galovic, Viktor - WU, DI
1HH 1.50

⚽ 3070 China League 2
Shanxi Xindu - Dalian Chanjoy
Over Home(0.5) 1.70

Multiple
RESET 100 ₦ 500 ₦ 1000 ₦ 2500 ₦
Odd 2.55
Amount 10,000₦
Bonus 0.00 ₦
Potential winning 25,500 ₦

*_⚖ NEW ~ STAR ⚖_*
 
*x61m1*

Tampa Bay Lightning - Arizona Coyotes
Double Chance + Total: W Tampa Bay Lightning or W Arizona Coyotes + Total Over (4.5) - Yes
1.445 ✅✅✅
Toronto Raptors - New York Knicks
Handicap: Handiсap Toronto Raptors (-6.5)
1.33 ✅✅✅

*mr opulence*

*Toronto raptors raped New York's Knicks 128-92 and even -14 above was 2 odds*
 
Screenshot_20190319-100301.png
Screenshot_20190319-100321.png
 
NEVER MISS IT

*BREAKFAST TIP*

*8:15AM*🌚

*RATE 👉 80% SAFE*

Booking number *Z5YNFRK5* found.

Selections added to the betslip
1695 Antalya, Singles M-ITF-TUR-15A
Walder, Jordi - Agabigun, Sarp
*1HH 1.60*

1701 Antalya, Singles M-ITF-TUR-15A
Klok, Denys - Netuschil, Marvin
*2HH 1.19*

3072 Antalya, Singles W-ITF-TUR-15A
Mendez, Seone - Arcidiacono, Federica
*1HH 1.24*

*Odd 2.36*

🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀
*GREENLAND CARES*®
 
Ukitaka kupoteza muda wako na kujiona huna bahati basi komaa na jackpot

Ni kupoteza muda wako tu mkuu, toka iaenza umesikia wangapi wameshinda ? Ila watu wanakula kawaida daily na sio jackpot

Utaota kila siku umenunue gorofa kwa jackpot matokeo yakitoka unakuta ume hit 5 kati ya 17
Mkuu unayosema ni kweli ila si umeona mpunga ulivokuwa mwingi?

Bas ata kutusua kwake siyo rahisi inahitaji Kipusa mmoja mwenye moyo mgumu maana lazima uvumilie disapotment za kutosha

Sasa huy jamaa we mwambie tu km yuko serious nayo bas aendelee tu ila mwambie awe msold kweli kweli ingawa kuna fortune pia ikimdondokea itakuwa bahat yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii game ya simba nataka niipandie yenyewe kama yenyewe but naitafuta siioni. Sijui mrusi kashituka kupigwa!
 
Mkuu unayosema ni kweli ila si umeona mpunga ulivokuwa mwingi?

Bas ata kutusua kwake siyo rahisi inahitaji Kipusa mmoja mwenye moyo mgumu maana lazima uvumilie disapotment za kutosha

Sasa huy jamaa we mwambie tu km yuko serious nayo bas aendelee tu ila mwambie awe msold kweli kweli ingawa kuna fortune pia ikimdondokea itakuwa bahat yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpunga ni mrefu kweli kweli na unatia tamaa haswaa
Shida ya jacpot ni ile kulazimishwa 1x2
Halafu wanachagua game ambazo hazitabiriki kabisaa
Mi nilijifanya nakomaa na jackpot ya betpawa sh 100 tu kwa milion200 timu game 17

Nilikua nabet jacpot hadi za sh 5000 kwa wiki
Piga hesabu 5000 ÷100 utapata mikeka 50

Dadeq matokeo yakitoka kati ya tiketi 50 unakuta ni labda 5 tu ndio umehit 8 kati ya 17 mingine yote ni chini ya 5
Nikafanya utafiti nikagundua kama ni jacpot wetupia mmoja tu kisha endelea kawaida

Sasa hao sportpesa tiketi elf2 betpawa sh100 1xbet 300 ila hakunaga mshindi
 
Jackpot ya 1xbet inapatikana mtaa gani, kwa maana sijawahi kuiona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu mpunga ni mrefu kweli kweli na unatia tamaa haswaa
Shida ya jacpot ni ile kulazimishwa 1x2
Halafu wanachagua game ambazo hazitabiriki kabisaa
Mi nilijifanya nakomaa na jackpot ya betpawa sh 100 tu kwa milion200 timu game 17

Nilikua nabet jacpot hadi za sh 5000 kwa wiki
Piga hesabu 5000 ÷100 utapata mikeka 50

Dadeq matokeo yakitoka kati ya tiketi 50 unakuta ni labda 5 tu ndio umehit 8 kati ya 17 mingine yote ni chini ya 5
Nikafanya utafiti nikagundua kama ni jacpot wetupia mmoja tu kisha endelea kawaida

Sasa hao sportpesa tiketi elf2 betpawa sh100 1xbet 300 ila hakunaga mshindi
Kiukweli jackpot ni ngumu sana mkuu game 17 sio kitoto mpk uje kuwapiga sio mchezo ila nachoamini kwenye hizi mambo kunakuaga pia na bahati nasibu so mtu ukiwa na kismati unaeza change life withn seconds ukawa mtu mwingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli jackpot ni ngumu sana mkuu game 17 sio kitoto mpk uje kuwapiga sio mchezo ila nachoamini kwenye hizi mambo kunakuaga pia na bahati nasibu so mtu ukiwa na kismati unaeza change life withn seconds ukawa mtu mwingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli bahati ipo na inawezekana
Mi kila wiki natupia jacpot ya ml200 moja na ya mil10 moja tu jumla sh200

Ikiwa napata nafasi ya kuchagua timu zangu ninazoona zinafaa hata 2 tu nalose je walizonichagulia wao 17

Ila wapo watu na bahati zao walisha wahi kutusua jacpot
Mapambano yaendelee
 
Back
Top Bottom