Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Deposit ya betpawa ukiwa na voda

4. Lipa kwa mpesa
->
Natakiwa kuweka namba ipi ya kampuni?
->
Kumbukumbu namba ipi ?


Maana naona kuna maxicom zinanichanganya wakuu.

Sijawahi tumia betpawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa betting bhana, hapo ndio umeamini Wa nyumbani kutokana Na odd alizopewa kumbe ndio wakala Wa kanji.
Screenshot_20190320-084929~2.jpeg
 
Deposit ya betpawa ukiwa na voda

4. Lipa kwa mpesa
->
Natakiwa kuweka namba ipi ya kampuni?
->
Kumbukumbu namba ipi ?


Maana naona kuna maxicom zinanichanganya wakuu.

Sijawahi tumia betpawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
*150*00#
Chagua 4
Chagua tena 4
Ingiza 123123
Ingiza 60124815
Ingiza kiasi
Ingiza namba ya siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee internal asante sana kaka nimepata laini yangu ya safaricom now naanza mapinduzi rasmi 1×bet
Guys uyu jamaa nimuaminifu sana yuko boda uko namanga nikonzangu dsm nimetuma pesa na nimefanyiwa mambo bila hiyana
 
Back
Top Bottom