Mkuu unayosema ni kweli ila si umeona mpunga ulivokuwa mwingi?Ukitaka kupoteza muda wako na kujiona huna bahati basi komaa na jackpot
Ni kupoteza muda wako tu mkuu, toka iaenza umesikia wangapi wameshinda ? Ila watu wanakula kawaida daily na sio jackpot
Utaota kila siku umenunue gorofa kwa jackpot matokeo yakitoka unakuta ume hit 5 kati ya 17
Mi mwenewe naitafuta hiyo tu toka asubuhi. Nafsi yangu Leo inanituma kuwa nisipoiona basi nipumzike kubeti.samahan wadau
mechi ya simba na ruvu inapatikana betting site gan
Mkorea unapambana na Mrusi eeNIMETEGA BOMU ***** MRUSI LAZIMA AKAE!
Mkuu mpunga ni mrefu kweli kweli na unatia tamaa haswaaMkuu unayosema ni kweli ila si umeona mpunga ulivokuwa mwingi?
Bas ata kutusua kwake siyo rahisi inahitaji Kipusa mmoja mwenye moyo mgumu maana lazima uvumilie disapotment za kutosha
Sasa huy jamaa we mwambie tu km yuko serious nayo bas aendelee tu ila mwambie awe msold kweli kweli ingawa kuna fortune pia ikimdondokea itakuwa bahat yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jackpot ya 1xbet inapatikana mtaa gani, kwa maana sijawahi kuiona.Mkuu mpunga ni mrefu kweli kweli na unatia tamaa haswaa
Shida ya jacpot ni ile kulazimishwa 1x2
Halafu wanachagua game ambazo hazitabiriki kabisaa
Mi nilijifanya nakomaa na jackpot ya betpawa sh 100 tu kwa milion200 timu game 17
Nilikua nabet jacpot hadi za sh 5000 kwa wiki
Piga hesabu 5000 ÷100 utapata mikeka 50
Dadeq matokeo yakitoka kati ya tiketi 50 unakuta ni labda 5 tu ndio umehit 8 kati ya 17 mingine yote ni chini ya 5
Nikafanya utafiti nikagundua kama ni jacpot wetupia mmoja tu kisha endelea kawaida
Sasa hao sportpesa tiketi elf2 betpawa sh100 1xbet 300 ila hakunaga mshindi
Kiukweli jackpot ni ngumu sana mkuu game 17 sio kitoto mpk uje kuwapiga sio mchezo ila nachoamini kwenye hizi mambo kunakuaga pia na bahati nasibu so mtu ukiwa na kismati unaeza change life withn seconds ukawa mtu mwingine kabisaMkuu mpunga ni mrefu kweli kweli na unatia tamaa haswaa
Shida ya jacpot ni ile kulazimishwa 1x2
Halafu wanachagua game ambazo hazitabiriki kabisaa
Mi nilijifanya nakomaa na jackpot ya betpawa sh 100 tu kwa milion200 timu game 17
Nilikua nabet jacpot hadi za sh 5000 kwa wiki
Piga hesabu 5000 ÷100 utapata mikeka 50
Dadeq matokeo yakitoka kati ya tiketi 50 unakuta ni labda 5 tu ndio umehit 8 kati ya 17 mingine yote ni chini ya 5
Nikafanya utafiti nikagundua kama ni jacpot wetupia mmoja tu kisha endelea kawaida
Sasa hao sportpesa tiketi elf2 betpawa sh100 1xbet 300 ila hakunaga mshindi
Inaitwa TOTO ingia sehemu iliyoandikwa TOTOJackpot ya 1xbet inapatikana mtaa gani, kwa maana sijawahi kuiona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli bahati ipo na inawezekanaKiukweli jackpot ni ngumu sana mkuu game 17 sio kitoto mpk uje kuwapiga sio mchezo ila nachoamini kwenye hizi mambo kunakuaga pia na bahati nasibu so mtu ukiwa na kismati unaeza change life withn seconds ukawa mtu mwingine kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app