Jk12
JF-Expert Member
- Feb 24, 2019
- 702
- 1,151
Mkuu, kwenye kujisajili...ulitumia majina yako real ama majina yaliyosajiliwa na Safaricom?
Mkuu, kwenye usajili...nitumie yale majina niliyojisajili awali kwa Akaunti ya Tz? Ama niCHANGE? wewe umefanyaje kuhusu majina?Yeah simple tu, na uzuri Safaricom ukideposit 1xBET Hawana makato
Tumia majina uliyotimia kujiandikisha nayo, hayo ya kitambulisho cha KenyaMkuu, kwenye usajili...nitumie yale majina niliyojisajili awali kwa Akaunti ya Tz? Ama niCHANGE? wewe umefanyaje kuhusu majina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee...
Hali ni tete
Unaangalia mfumo wanaotumia Ukraine?
Una weza chagua Tsh haina tatizowakuu hata kama unatumia laini ya safarcom 1xbet bado unaweza chagua tsh na maisha yakaenda au labda kama unaielewa pesa ya kenya vyediii
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioMkuu, kwenye kujisajili...ulitumia majina yako real ama majina yaliyosajiliwa na Safaricom?
Internet unatumia ya Vodacom Tanzania? Au internet unatumi ya Mitandao kama Tigo/Airtel?
Msaada please, na kwa yeyote anayeweza nijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipwakuu hata kama unatumia laini ya safarcom 1xbet bado unaweza chagua tsh na maisha yakaenda au labda kama unaielewa pesa ya kenya vyediii
Sent using Jamii Forums mobile app