Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_1942.JPG
kimbilia fastaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rostema kilikusibu kipi tena ndugu yangu[emoji32][emoji32][emoji32]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifungua akaunti benki, nikafanikiwa kuingiza pesa 1xbet, zilipita siku nyingi kidogo bila kupeleka pesa huko 1xbet.
Nilipotaka kuweka pesa 1xbet haikukubali hata kidogo, sasa nimehamia Safaricom line ambayo ni sawa na bure.
Ushauri ni bora kupata line ya Safaricom pesa nyingine anza kama mtaji kwenye akaunti yako 1xbet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kudeposit kwa kupitia safaricom makato huwa bei gani???
Nilifungua akaunti benki, nikafanikiwa kuingiza pesa 1xbet, zilipita siku nyingi kidogo bila kupeleka pesa huko 1xbet.
Nilipotaka kuweka pesa 1xbet haikukubali hata kidogo, sasa nimehamia Safaricom line ambayo ni sawa na bure.
Ushauri ni bora kupata line ya Safaricom pesa nyingine anza kama mtaji kwenye akaunti yako 1xbet.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka Safaricom kwenda 1xbet hakuna makato.
Pia kutoka vodacom makato si makubwa kama kuitoa pesa bank kwenda scrill then 1xbet inaweza kufika 3000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom