Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20190323_145030_854.jpg

Odds 2+
Tia 500000.
 
Wazee mwezi huu nimeanza kucheza option ya zero bet Naoma inaleta matokeo chanya hela ya bia Weekend haikosekani hii ni live kwa meridean bet ambapo unaifuata timu kuanzia dakika ya 70 ishinde. Angalizo. Unaweza kukosa mikeka hata kumi ila ukila mmoja unasahau kama umeliwa. View attachment 1052247View attachment 1052248View attachment 1052249View attachment 1052250

Sent using Jamii Forums mobile app
Nataman Sana meridian sema kwenye password imegoma kabsaa kufungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee mwezi huu nimeanza kucheza option ya zero bet Naoma inaleta matokeo chanya hela ya bia Weekend haikosekani hii ni live kwa meridean bet ambapo unaifuata timu kuanzia dakika ya 70 ishinde. Angalizo. Unaweza kukosa mikeka hata kumi ila ukila mmoja unasahau kama umeliwa. View attachment 1052247View attachment 1052248View attachment 1052249View attachment 1052250

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zero bet mana yake nin labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa msaada wasioelewa hii option mana yake ni hii. Timu ishinde bila kuhesabu matokeo uliyoyakuta wakati unsplace bet.

Kampuni nyingine inaitwa win after the rest score.
Wazee mwezi huu nimeanza kucheza option ya zero bet Naoma inaleta matokeo chanya hela ya bia Weekend haikosekani hii ni live kwa meridean bet ambapo unaifuata timu kuanzia dakika ya 70 ishinde. Angalizo. Unaweza kukosa mikeka hata kumi ila ukila mmoja unasahau kama umeliwa. View attachment 1052247View attachment 1052248View attachment 1052249View attachment 1052250

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Timu ishinde bila kuhesabu matokeo uliyoyakuta wakati unaplace bet.

Mfano umekuta timu Y 4 - timu X 0. Ukichagua zero bet timu X labda ilikuwa dkk ya 70 timu X ikapata goli kutoka muda huo the mechi ikaisha timu Y 4 - timu X 1. Unakuwa umekula

Back
Top Bottom