Sina kitochi kwahio sifaham kama inawezekana, jaribu kwanza utaleta mrejesho.Fafanua kidogo
Vipi naweza kutumia line ya safaricom kwenye kitochi au lazima smartphone?
Maelezo mkuu
Hii inapatikana wapi?
mimi mbona nadeposit hata ks130 inakubali
Nataman Sana meridian sema kwenye password imegoma kabsaa kufunguaWazee mwezi huu nimeanza kucheza option ya zero bet Naoma inaleta matokeo chanya hela ya bia Weekend haikosekani hii ni live kwa meridean bet ambapo unaifuata timu kuanzia dakika ya 70 ishinde. Angalizo. Unaweza kukosa mikeka hata kumi ila ukila mmoja unasahau kama umeliwa. View attachment 1052247View attachment 1052248View attachment 1052249View attachment 1052250
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza nisaidia mkuu?Nataman Sana meridian sema kwenye password imegoma kabsaa kufungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zero bet mana yake nin labdaWazee mwezi huu nimeanza kucheza option ya zero bet Naoma inaleta matokeo chanya hela ya bia Weekend haikosekani hii ni live kwa meridean bet ambapo unaifuata timu kuanzia dakika ya 70 ishinde. Angalizo. Unaweza kukosa mikeka hata kumi ila ukila mmoja unasahau kama umeliwa. View attachment 1052247View attachment 1052248View attachment 1052249View attachment 1052250
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee mwezi huu nimeanza kucheza option ya zero bet Naoma inaleta matokeo chanya hela ya bia Weekend haikosekani hii ni live kwa meridean bet ambapo unaifuata timu kuanzia dakika ya 70 ishinde. Angalizo. Unaweza kukosa mikeka hata kumi ila ukila mmoja unasahau kama umeliwa. View attachment 1052247View attachment 1052248View attachment 1052249View attachment 1052250
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao..mbona kampuni ziko nyingi..Jamani ndugu zanguni mostbet mbna inastack nashindwa kubet kabisa msaada tutani
Ni shida! Nilideposit toka juzi mpaka sasa balance in 0.00. Majibu yao hayaelewekiJamani ndugu zanguni mostbet mbna inastack nashindwa kubet kabisa msaada tutani