Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oya ifran achana nae ila ajiulize kwa nini 1xbet ilifanyiwa hujuma bongo tunaliwa kwa sababu tunakariri options utakuta mtu mechi 6 zote anakomaa na normal apo unategemea utamla kweli wakati unaweza ukachagua option ya combine ambayo ni double chance & under 3.5 or 4.5 ambayo odd yake inakuwa sawa na ya normal au inakaribia
Mkuu Kuna option zingine hz kampuni zingne hawaweki ,m nimtumiaji mzuri w betpower ila Kuna muda wnazingua mfano Kuna mechi unawezakuta over imeanzia 3 .5

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anaposema Kampuni za Bongo ni nyingi

Mimi siangalii wingi au urahisi wa kutoa pesa
Naangalia uwepo wa mechi nyingi za aina nyingi...
Mimi nabet basket tu
Hizo kampuni za Tz haziweki mechi zote au wanakupa option moja ya over na under

Mfano leo palikuwa na japanese basket ila hizo kampuni za Tz hazijaziweka hizo mechi... ila 1xbet wakaweka.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu Basi Kuna mapungufu mengi Sana kwenye kampuni zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hunijui sikujui ila jua kuwa betting
Mimi nafata wingi wa machaguo mengi na wingi wa mechi.
Kampuni za bongo hela twapata mapema ila wanabana machaguo
Mf mechi za basket hawaeki zote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani meridian hamna hii option.??
Au sportpesa kwenye kipengele cha Jenga bet..
Acheni kuhangaika bila sababu za msingi.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kuna option zingine hz kampuni zingne hawaweki ,m nimtumiaji mzuri w betpower ila Kuna muda wnazingua mfano Kuna mechi unawezakuta over imeanzia 3 .5

Sent using Jamii Forums mobile app
sema ww labda ana weza elewa kuna mechi jana nili kua nataka niicheke ya Austria
usk Anif vs Kufstein magoal wana weka kuanzia over 3.5 na under 3.5 basiiiii
sasa mtu anae taka kucheza over 2.5 una amua uachane nayo huu sis tuna ita uoga wa kuliwa kwa kampun

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hakuna game unaweza kuikosa 1xbet.
1xbet is the BEST ever.

Kuna baadhi ya games sehemu nyingine hakuna option ya over 1.5, over 2.5 wanaanza over 3.5. Lakini 1xbet unakuta wa options zote. Hawa at least wanaweka mazingira ya 50/50 ... ila sehemu nyingine mmmmh!!! wanatengeneza mazingira ya 30/70 au 20/80.
 


Upande mwingine ni kwenye live betting ... km kuna game 240 ziko live uwanjani, unazikuta zooote hata nyingne ambazo application km Flashscore hawaziweki. Kwa hiyo unakuwa na uwanja mpana wa kuchagua game gani uweke pesa. BetPawa kunaweza kukawa na games 200 live, wakakuchagulia game 15 tu wanazotaka wao.

Jamani msilinganishe 1xbet na vitu vya kipuuzi.
 
jaman mnaotaka kumpa taifa stars direct win kuwen makin maana amonike hakawii kuja na kikos chake cha ajabu[emoji23][emoji23] ni tahadhar tu nawapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…