Nimetumia makampuni almost yote ila kwa 1xbet ninafaidi sana pesa za bet. Option kibao mechi almost zote unazikuta. Nishatulia na hawa jamaa iwe kudeposit kuwithdraw inshort sijapata usumbufu wa kijinga. Ukiwajulia hawa si rahisi kuhama.
Meridian changamoto ni server kuwa down muda mwingi
Premier kuwithdraw na mechi za live chache
Hizi za bongo na sportpesa zooote huwa ziko selective kwenye mechi za kuweka na option chache sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo robo kwenye mechi ya leo
Nasikia harufu ya Ankara View attachment 1053011
Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo robo kwenye mechi ya leo
Umefeli mkuu haujaelewa fumbo langu.Kama unampenda tz weka mkeka wako hapa tuona kama unampenda acha kujilizaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefeli mkuu haujaelewa fumbo langu.
Tanzania leo anahatari kubwa mno tunaweza pata aibu ya mtu mzima kujisaidia Rosana. Yote kwa yote naiombea mema
Mtashangaa leo,tutashinda tuLinapokuja suala la pesa wabongo siwaamini kabisa dah. Wacha nimuue tu tanzania liwalo na liwe
.
naomba link yao mkuuIla nimeona Tangazo wanasema tubadilishe password zetu kabla ya tarehe 27/03/2019.
Bila shaka wamekusikia watalifanyia kazi 😃😃😃😃Nimeifuatilia hii 1xbet ila naona process ya uwekaji na utoaji pesa sio friend user yaani sio rafiki. Mfano mimi na zaidi ya mwaka sijaenda kwenye majumba ya betting. Ni Mimi na simu yangu.Naweka dau kwa tigo pesa na na withdraw kwa tigo pesa very simple na ni muda wowote hata iwe usiku wa manane. Hatukatai wana mechi nyingi ila na wao waje hapa bongo ili iwe rahisi kuweka na kutoa Kama ilivyo kwa sportpesa,meridian na mengineo.
Sent using Jamii Forums mobile app