Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseee....!!!
Screenshot_20190325-020000~2.jpeg
 
SUNGUSUNGU SOMAAHIOOOOO
MAPEMAAA NIMEWEKA AHAMI.MTU BANA NGOJA TUSUBIRI AFCON
Screenshot_20190325-065943.png
 
HATA HIZI SUNGUSUNGU 1-3/1-4 NAANDIKA KILA SIKU ZIMEKUKOSAA
NGOJA TUKASAFISHE
Screenshot_20190325-103946.png
NYOTÀ
 
MWENYE MTAJI AFANYE KUNICHEKI TUFANYE MUUNGANO AISEE MIMI KUBETI NIPO VIZURI ILA KWA SASA MTAJI MDOGO NATAFUTA MDAU TUUNGANISHE NGUVUView attachment 1053513View attachment 1053514View attachment 1053515View attachment 1053516

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona mtaji ushaupata hapo unakwama wapi bro? Au ndo unataka Laki? Tamaa hiyo Ndugu, Chamsingi hapo we tembelea 10k mpaka ifike 200k unapanda unakuwa unatembelea 20k hakikisha unabeti 10% ya mtaji wako kama umedeposit 10000 tembea na buku buku mpaka ile 10k nyingine ikishakuwa 20 unapanda 2000 taratibu utasogea sio una 10k unaiweka yote [emoji23][emoji23][emoji23] ukibamizwa unaanza upya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Darasa huru bro japo nitachelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1553503575407.png

Finally nimefanikiwa kulog in kwa app ya PC 1xbet.........Ngoja sasa ni deposit niendelee na ile project yangu
 
Darasa huru bro japo nitachelewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa jinsi Ulivyo tembelea hata buku 5 mkuu atleast utawahi au hata 10k maana naona kabisa upo vizuri ila sijui ndo unaogopa kujilipua? Kama una 10k lipuka na 5k kama una 20k lipuka na 10k kwa kiwango chako sidhani kama utapoteza mara 2 mfululizo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom