21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Oooohhahaah...wewe ndio hujamwelewa Laury huyo Crumpy Crumper ni mdau wa muda mrefu hili jukwaa sema kiindi kirefu hajaoneka. ndio maana kauliza "umepotea"
Hivi walikuita kweny kikao chao na Director wao mkuu??????Nimekuwa royal kwa muda mrefu lakini leo nawakimbia hawa qumer, wameniudhi sana.
Ya system bet kiongozi
22bet.Com
Hivi kwa ambae nimejisajilu kwa KENYA SHILLINGS, naweza kubadilisha hii Currency? KES inanichanganya tu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana wamo humu waliotoa maoni namna bora ya sisi kupigwa.Hivi walikuita kweny kikao chao na Director wao mkuu??????
Kilifanyika zaidi za mwezi uliopita, waliitwa watiifu kutoa maoni na marekebisho...walipewa nauli, chakula..na Online vocha za Laki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! Ila interface mbovu! Au wameweka makusudi ili iwachanye wabetishaji.Duuh hii kampuni nayo ina option kama zote aisee!
Yeah! Ila interface mbovu! Au wameweka makusudi ili iwachanye wabetishaji.
Mziki mnene CD 700 ni how to deposit/withdraw. Huku hakuna Safaricom
Usijali mkuu tupo pamoja.....Mzee Baba hawa siwapati siku hzi kwenye website yao Tatizo nini? Maana situmii App coz wanayo ya Android tu na mm nina iphone [emoji15][emoji15][emoji15] basi endelea kutupia vyuma humu nitakuwa natembelea humu humu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Thanks so much!Mostbet kuweka hela wala haina shida.Yan wala hupati presha hata chembe; Sekunde tu hela imesoma. Sasa we jaribu kutoa hiyo uliyokula, hakuna rangi utaacha ona. Kama hujawah toa sadaka ya lazima, we jichanganye; utatuma picha umeshika kitambulisho; utaambiwa kila kitu and yet usubr
Na viodd vyake vya kipumbavuMchawi hakosi[emoji849][emoji849]View attachment 1054176View attachment 1054177View attachment 1054178
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmejiunga nmeshindwa kuweka helaMostbet kuweka hela wala haina shida.Yan wala hupati presha hata chembe; Sekunde tu hela imesoma. Sasa we jaribu kutoa hiyo uliyokula, hakuna rangi utaacha ona. Kama hujawah toa sadaka ya lazima, we jichanganye; utatuma picha umeshika kitambulisho; utaambiwa kila kitu and yet usubr