Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Utaratibu ni mzuri...weka kwa kutumia namba 400700 then ukishaweka, chukua zile code za m-pesa mf 6CP925VSACV uweke kwenye kipengele cha Transaction code kule mostbet. Chini ya sekunde, hela imesoma
Ok.ukishinda hakuna usumbufu namna ya kupata hela yako?
 
Mostbet kuweka hela wala haina shida.Yan wala hupati presha hata chembe; Sekunde tu hela imesoma. Sasa we jaribu kutoa hiyo uliyokula, hakuna rangi utaacha ona. Kama hujawah toa sadaka ya lazima, we jichanganye; utatuma picha umeshika kitambulisho; utaambiwa kila kitu and yet usubr
Haaaaaaaaah aya mambo nilisomaga mtandaoni walikuwa wana wazungumzia 1xbet ila nilipojiunga sikuona kitu km icho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mostbet kuweka hela wala haina shida.Yan wala hupati presha hata chembe; Sekunde tu hela imesoma. Sasa we jaribu kutoa hiyo uliyokula, hakuna rangi utaacha ona. Kama hujawah toa sadaka ya lazima, we jichanganye; utatuma picha umeshika kitambulisho; utaambiwa kila kitu and yet usubr
vip hawa wana option za tigo na voda kwa tx?
 
Mzigo huo wa leo...
IMG_20190326_092626.jpeg
IMG_20190326_092656.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom