Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
ipo Vodacom Tz
ipo Vodacom Tz
Sijakuelewavip hawa wana option za tigo na voda kwa tx?
Hakunaipo Vodacom Tz
Hahahahaha,[emoji16][emoji16][emoji16]....JANAAA AMENIPAA YA SUPU MASHALLAH MSIACHE KUMPA FIVE STAR
Nafikiri alimaanisha home team to win, au double chance ya 12 either home or away to win yaani (12)Hapo naona kama vile kanichanganya! Angalieni hapo wadau.. View attachment 1054345View attachment 1054346
Waliofwataaa jn boooooomssssssPortugal vs Serbia 2-4goal ,Hong Ajax vs Hong Utrecht gg ,Turkey vs Moldov 1 win & over 2g ,4+ oddsGame sure 100%%%%100%%% eek hata nyumba
Mimi ni mhanga wa 1xbet nili kata tamaa na kutoa sadaka ya M.8 niliyoshinda kutoa ikawa haiwezekaniki, unatoa kwa benk inakaa muda inarudi kwenye akaunti, mwisho wa siku nikaambiwa nitume vitambulisho, passport, bank statement, ili nitumie skrill nilipo soma kwenye mablog ya nchi mbalimbali nikakuta wanalalamikia kitu hicho hicho nikajikatia tamaa.Haaaaaaaaah aya mambo nilisomaga mtandaoni walikuwa wana wazungumzia 1xbet ila nilipojiunga sikuona kitu km icho
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wameliona ilo wamelifanyia kazi Mida si mirefu cheki hapoNafikiri alimaanisha home team to win, au double chance ya 12 either home or away to win yaani (12)
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah!vip hawa wana option za tigo na voda kwa tx?
mzee baba hapo odd ngapi sasa!!!!Weka stake hapa ... gawa mikeka kama hivyo acha uroho!View attachment 1054541
Sent using Jamii Forums mobile app