Mcheza unajiungaje mkuu? Nitumie link yao.
Huko napo kuna kodi kama kawaidaMcheza unajiungaje mkuu? Nitumie link yao.
Mkuu, hii ni kampuni gani.?
2/3 means nikipata tu team 2 kati ya hizo 3 nilizoweka nakua nimeshinda ila Odds haziwi kama zilivyo
Wadau vp,
Mi nauliza kwamba maana halisi ya optione ya home/away win.
Yani nashindwa kuitambua vzuri.webu nielewesheni wadau.
Wadau vp,
Mi nauliza kwamba maana halisi ya optione ya home/away win.
Yani nashindwa kuitambua vzuri.webu nielewesheni wadau.
Mkuu naona kote koteNorway sijui ataachia hii Pesa kweli,kabaki yeye.View attachment 1054875
Ila wengi wamempa double chance Sweden me nkiwa mmojawapoNorway sijui ataachia hii Pesa kweli,kabaki yeye.View attachment 1054875
Norway sijui ataachia hii Pesa kweli,kabaki yeye.View attachment 1054875
Aiseee
Ngoma inaweza isha mojamoja.
Ngoja tumsubiri.65% Anashinda mi nilimpa double chance,mechi ngumu sana hyo
Ngoja tumsubiri.
Hahaha..Sweden kachomoa na kushinda aisee kweli betting kazi ngumu
Bora nilale sio alichonifanyia BosniaNgoja tumsubiri.