Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah, England wamenichania mkeka but mapambano yanaendelea
Screenshot_20190327-081011_Chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
INVEST YOUR MONEY HERE
St Johnstone - St mitten

HT Cs 1 - 0
Odds4

I swear this is BOOM
 
EUROPE: Champions League Women

18:15. Wolfsburg W - Lyon W

Tip: 1/1 ht ft @ 2.10

EUROPE: Champions League Women

19:30. Bayern Munich W - Slavia Prague W

Tip: 1& over 2.5 @ 2.40
 
NIGERIA: NPFL

16:00. Remo Stars - Enugu Rangers

Tip: over 2.5 @ 2.90â�½â�½í ½í¸�
 
Wadau yule mtaalam wa line za Safaricom nipeni connection nae nifanye mambo. maana 1xbet alinipa nyumba nzuri tu ila kampuni zetu mama zimeshinndwa hata kujenga msingi wa fensi.
 
Mimi ni mhanga wa 1xbet nili kata tamaa na kutoa sadaka ya M.8 niliyoshinda kutoa ikawa haiwezekaniki, unatoa kwa benk inakaa muda inarudi kwenye akaunti, mwisho wa siku nikaambiwa nitume vitambulisho, passport, bank statement, ili nitumie skrill nilipo soma kwenye mablog ya nchi mbalimbali nikakuta wanalalamikia kitu hicho hicho nikajikatia tamaa.
Kwaiyo hadi leo iyo m8 ipo kwny account hapo tatizo ni bank za Tanzania wakishaona mzigo unakuja toka kwny kitu kinaitwa betting wana reject wanadai wanaogopa mambo ya utakasaji wa hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo hadi leo iyo m8 ipo kwny account hapo tatizo ni bank za Tanzania wakishaona mzigo unakuja toka kwny kitu kinaitwa betting wana reject wanadai wanaogopa mambo ya utakasaji wa hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Mimi huwa napokea mzigo vizuri tu kupitia bank! Sema inabidi uvumilivu kidogo. Inachukua hadi siku 14 za kazi hadi upate hela.
 
Back
Top Bottom